Bikra wa kiume

Bikra wa kiume

Kwa wanaume, ni jambo la matamanio sana kuoa binti ambaye ni bikra, kwa upande wa kina dada sijui vipi, na wao hutamani kuolewa na bikra wa kiume?[/QUOTE

dhuuuuuuuu!! hakuna mwanaume bikra duinian
bikra ni aina fulani ya ngozi laini ambayo huwa nani ya uke, na unapoingiza kitu ukeni na ukaguza kale kangozi kana katika coz ni kepes sana na hapo ndo tunasema mdada katolea bikra ndo maana bikwa inaweza kutoka haka kwa kutanua miguu sana na sio mpka sex!!
 
mimi nataka mwenye experience ya kutosha..tena mwanaume alojichokea na mik...huko ambae ana uzoefu na wanawake tofauti tofauti ,wazungu,waarabu wapare .... wapya ni malimbukeni..hata ukileta beki tatu wa kimasai atataka kuparamia ila mzoefu yeye anatulia kulea family
 
Back
Top Bottom