Bikra wa kiume

Bikra wa kiume

Sangarara

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
13,104
Reaction score
5,665
Kwa wanaume, ni jambo la matamanio sana kuoa binti ambaye ni bikra, kwa upande wa kina dada sijui vipi, na wao hutamani kuolewa na bikra wa kiume?
 
Bikra ninini?
Mwanaume atakuwaje na bikra?!
Labda ya makalioni.

Not Makarioni, ama sivyo wanawake wangekuwa na bikra mbili, i mean mwanamme ambaye hajawahi kuonja mbunye ndio akakutane nayo kwa mkewe first time.
 
maisha ya Tanzania yamemtafuna kila mtu. Hakuna cha Mwanamke wala mwanaume wote wametafunwa. Kwa hali hiyo Tanzania hamna bikira hata mmoja iwe ya makalio ama ya mdomoni.
 
Marnah na Heaven on earth
kwani mlitaka Log out aendelee kutamani kujiua!??
ni vile tu hamakutaka kumsoma kwa undani!
kulikuwa na tatizo mahala fulani!
Log out keep ur self happy buddy!jus remember this!
WEWE NI WA THAMANI SANA!
 
Last edited by a moderator:
Nilikuwa naomba ushauri kuondokana na hali hiyo,waelewa wamenishauri na nimekuwa releived kwa kweli.


ungekuwa na wewe muelewa kujib kwa logic japo kidogo thread za wenzio
kama wao walivokuwa waelewa kukusahuri vizuri mpaka ukawa releived
 
Back
Top Bottom