Bikra is Overrated

Status
Not open for further replies.
Bikra zipo mkuu
 
Sahihi bikra zipo, tena unakutana nayo tu bila kutarajia
 

Dah! Ni noma sana mkuu. 😊
 
Mi nimetoa 3 ila wote sijaishi nao nimekuja kuoa mwenye birika na maisha yanaenda na wao wameolewa hukooo...kuna dem aliniomba nimtoe tu bikra nikatoa akasepa akanipa na 40000....
 
Hivi vibikra mpaka kaje kapate akili ya kujua nini maana ya mke aisee umeteseka saaana
 
Haya ndio tunayoyaongea kila siku
Mimi sitaki hizo stress kabisaa
 
Hii ndo changamoto ya kuweka ndani chombo used, she'll always compare your game. Na pia waliomkula wakikutana nae ni rahisi sana kuwavulia chup* tena.
 

Kuna jamaa nilikua nabishana naye sana zaman kwamba nguo za mtumba ni bora kuliko special.
Nguo ya mtumba yenye quality ya juu inaweza ikazidi nguo special ya quality ndogo
Ila Special yenye quality inazidi mtumba yenye quality mbali sana...ikipungua quality itakua mtumba yenye quality
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…