Moose Bull
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 510
- 1,235
Ila nimeaanza kuamini kuwa mabikra wengi sasa hivi ni watoto wa kishua (geti kali) ambao wako mijini, vijijini ambako watu wengi hudhani Kuna mabikra ndiko bikra hutolewa mapema sana Kwa watoto wa kike.It depends na dating pool yako. It's not likely ukute over 23 bikra yuko mtaani kama hasomi au hayuko mazingira ya kumpa uhuru mdogo.
Hata hivyo kuna mambo mengi duniani huwezi kuyamaliza. Bikra sio mafanikio.
Tunamega kiselaHalafu?
Ukweli kabisa, huwa hawasemi. Hata mimi nilikutana na mmoja zaidi alisema anaumia tu, ila hawa sasa ambao hawana mmh kwa kujiongezea points ni balaa.🙌Bikra nimekutana nayo mwaka jana, kwa mwanafunzi wa chuo kikuu mwaka wa pili. Nimeikataa tukiwa chumbani kabisa tupo uchi sababu sikuwa committed nae. Sijui kama anayo bado au hana.
Girlfriend wangu wa sasa nilimkuta nayo. Previously nilikuwa na girlfriend mwingine (R.I.P) nilimkuta nayo.
Ambalo hamjui ni kuwa bikra zipo mjini zaidi kuliko vijijini. Bikra ziko private schools zaidi ya shule za kutwa. Bikra zipo kwa matajiri na middle income earners kuliko kwa makapuku. Na sijawahi kutana na bikra alafu akaniambia anayo, huwa nakutana nayo kama surprise. Ambao hawana ndio huwa wanasema "mimi sijawahi" alafu wanajifanya kuumia.
Huyu Amina lazima aache malapa nyuma kwa hiki alichoanzisha hapa.Ni lazima kama wanaume tu-set standards. Kama wao hawawezi date au kuolewa na broke men.
Kwa nini walazimishe bikra sio big deal. Binafsi siwezi lipia mahari mwanamke ambaye sio bikra, na chuchu imesimama.
Tukiwachekea watatulazimisha tubebe hadi wasio na bikra zote mbili ati wamesha-explore the world. Hell no
Natafuta Ajira . Weka neno lako mkuu
Fafanua mkuu kwa faida zaidi maana kuna binti nina mipango nae na yupo BikraKiukweli bikra ni ngumu sana siku hizi kuzipata, ubahatike sana. Kulingana na utandawazi, watu siku hizi huanza mambo ya kikubwa mapema sana. Darasa la sita tuu unakuta tutoto tunacheza michezo ya kikubwa.
Kuhusu kuwa overated; sio kweli, bikra ina maana sana. Mimi ni shuhuda, nimeoa bikra.
Kwani,kwa wastani mwanaume anatakiwa apate bikra ngapi maishani?Kiukweli bikra ni ngumu sana siku hizi kuzipata, ubahatike sana. Kulingana na utandawazi, watu siku hizi huanza mambo ya kikubwa mapema sana. Darasa la sita tuu unakuta tutoto tunacheza michezo ya kikubwa.
Kuhusu kuwa overated; sio kweli, bikra ina maana sana. Mimi ni shuhuda, nimeoa bikra.
Upo sahihi, nilimkuta binti ana mika 26 na kamaliza Masters na nikaitoa Bikra yake. Ila huyo binti alinicheat na kuzaa na jamaa ambaye piaalikuwa mume wa mtu. Hoja ya Anita Makirita ni kuwa binadamu siyo static, yupo dynamic. Siyo kuwa ukimkuta mwanamke bikra, basi maisha yake yote atakuwa na wewe tu. Mwanamke bikra ni hatari kwa vile ataanza kutaka kuonja dick tofauti tokana na vijiwe vyao. Wengi wanaharibiwa na vijiwe. Ndo maana anajenga hoja kuwa Bikra ipo overrated bure.Bikra nimekutana nayo mwaka jana, kwa mwanafunzi wa chuo kikuu mwaka wa pili. Nimeikataa tukiwa chumbani kabisa tupo uchi sababu sikuwa committed nae. Sijui kama anayo bado au hana.
Girlfriend wangu wa sasa nilimkuta nayo. Previously nilikuwa na girlfriend mwingine (R.I.P) nilimkuta nayo.
Ambalo hamjui ni kuwa bikra zipo mjini zaidi kuliko vijijini. Bikra ziko private schools zaidi ya shule za kutwa. Bikra zipo kwa matajiri na middle income earners kuliko kwa makapuku. Na sijawahi kutana na bikra alafu akaniambia anayo, huwa nakutana nayo kama surprise. Ambao hawana ndio huwa wanasema "mimi sijawahi" alafu wanajifanya kuumia.
Sema ni bahati ila zipo. Mie kwa wastani nadhani kama 6 hivi. Ila kuoa nilioa asiye na bikra maana binti bikra katika mahusiano ni mtihani ajabu. Lazima uwe mvumilivuKiukweli bikra ni ngumu sana siku hizi kuzipata, ubahatike sana. Kulingana na utandawazi, watu siku hizi huanza mambo ya kikubwa mapema sana. Darasa la sita tuu unakuta tutoto tunacheza michezo ya kikubwa.
Kuhusu kuwa overated; sio kweli, bikra ina maana sana. Mimi ni shuhuda, nimeoa bikra.
Nimeona huku watu wako so desperate kupata bikira mpaka kutaka kuoa young girls vijijini huko...
Young girls wanamiaka mingapi?
Sheria za bongo binti wa miaka 16 anaruhusiwa kuolewa. Kwa utaratibu maalumu.
Na uhakika ni kuwa wapo maelfu kwa maelfu wa mabinti wa umri huo wana bikira.
Sawa utampata kigori huko kijijini, akija mtu huyu huwezi hata kufanya discussions nae sababu mko class tofauti, hamuwezi kuwa level moja mkadiscuss maendeleo...more likely kwanza umemzidi elimu..
Aliyekuambia binti kuwa bikra kunampunguzia elimu au akili ni nani?
Wapo watoto kibao wanamaliza kidato cha sita wanabikira.
Mimi mke wangu wa kwanza, nimemkuta bikira akiingia mwaka wa kwanza pale Muhimbili.
Wapili, akiwa kidato cha tano. Wote nimewaoa na wako smart, wasomi, na sasa kuhusu maendeleo kwao sio tatizo.
Second bikira inatolewa siku moja, sio kwamba itaota kila siku, inatoka siku moja then una realise umebeba mtu mzigo huna chemistry nae, sio rafiki yako..hamna chemistry baada ya hapo ..mtuambie nyie mliioa vijijini is it worth kukaa na mzigo kama huu kisa tu bikira ya siku moja?!
Kwamba wanawake wa mjini hawazaliwi na bikira mpaka useme wanawake wa vijijini. Umalaya ni tabia ya mtu. Haihusiani na mjini au kijijini. Wapo wadada kibao wa mjini wanazo hizo bikira.
Tatu sio kweli kuwa na bikira ndio mtu atabaki kuwa na uke mdogo(mnato)daima , hayo ni maumbile tu ya mwanamke, wanawake wanatofautiana ..huyo mkeo ambae ulimkuta bikira anaweza kuzaa na uke wake ukabaki mkubwa.(sio wote). Wide notion kuwa ukifanya sex mara nyingi uke unalegea ni myth, ni maumbile tu ya wanawake na tunatofautiana..
Ishu ya kuzaa ni ishu nyingine. Mwanamke uliyemuoa akiwa bikira kwa sisi wanaume tunaelewa vile tunavyomchukulia, thamani yake, na vile qmbavyo tuko proudly
Mwisho nilishawahi kuuliza swali humu tangia muanze kuhubiri bikira nani kakutana nayo??? Out of millions of men wanaotumia JF pamoja na wale wanaume wenye fake ID 🤣🤣😆 ni wachache sana walikuwa na guts za kusema wamekutana nazo..majority ni hola, so bikira is overated here in JF...bebeni mangurumbembe yenu maisha yasonge...stop looking for a needle in haystack...
Wasalaam
Anita
Mimi huyoooooooo byeee
Upo sahihi kabsaa mkuuWanaume wana mambo mengi kichwani,kuwaletea mada hii ni kuwachokoza mpenzi
Japo kuoa bikra ni muhimu sana,binti asipokengeuka na vijana wa mjini anakuwa hajui kitu kuhusu sex nje ya mumewe hivyo kumweshimu mume inakuwa ni 99%
Kwani lazima mimi..Tunamega kisela
Kama unadhani nawaogopa poleHuyu Amina lazima aache malapa nyuma kwa hiki alichoanzisha hapa.
Hawataki wanaume tuwe na standard. Wanaume tuingie kwenye mahisiano na traditional sacrifices kama mahari, lifetime provision, protection, stability n.k lakini kupata traditional benefits zinazokuja na hizo sacrifices kama purity, virginity, loyalty iwe hiyali yaoNi lazima kama wanaume tu-set standards. Kama wao hawawezi date au kuolewa na broke men.
Kwa nini walazimishe bikra sio big deal. Binafsi siwezi lipia mahari mwanamke ambaye sio bikra, na chuchu imesimama.
Tukiwachekea watatulazimisha tubebe hadi wasio na bikra zote mbili ati wamesha-explore the world. Hell no
Natafuta Ajira . Weka neno lako mkuu