Bikra is Overrated

Status
Not open for further replies.
Mkuu unatakiwa kujua kwamba mtaani mtu hawezi kuwa huru kama mtandaoni. Sio rahisi mtu kusisitiza suala la bikira mbele ya watu maana hapo utawaprovoke wanawake ambao sio bikira na wanaume ambao washaoa wanawake ambao waliwakuta washatumika.

Kama unavyojua waafrika hatuna calmness tukiwa provoked kwaiyo ukija na madai hayo mbele za watu usishangae mkaishia kurushiana ngumi. Kwa mantiki hiyo usishangae sana kukutana zaidi na madai hayo mtandaoni maana huku watu wanaweza kufunguka kwa uwazi.

Tunaothamini bikira bado tupo wengi sana. Mimi nilishajiwekea kiapo sitakuja kuoa mwanamke ambaye tayari kashatumika. Mke wangu niikutana nae akiwa bikira, watoto wangu wa kiume nitawasisitiza umuhimu wa kuoa bikira, vilevile binti yangu nitamsisitiza umuhimu wa kujitunza mpaka atakapoolewa.
 
Unaweza ukawa sahii but watu ambao naongea nao hawana tatizo hilo sababu wapo exposed na tabia mbaya tangu wadogo,kufikiri kua bikra hatosumbua naona kama insecurity ya wanaume ambao hawawezi ku deal na wanawake so kwao ambao sio bikra means malaya or exes watapiga,

Tho sio mbaya kua na chaguo kama umeoa bikra hongera..kwa dunia ya sasa kupata mwanamke 28+ possibility yake ni tofauti na uhalisia(your wish)

Gustavo fring alisema "If you have a problem, that means it can be solved. If it can’t be solved, then it’s not a problem it’s a reality to be accepted"

Just Know women. Learn their game. Be good at it,Hawasumbui
 
Rusha ngumi basi?!

Tena hii mada inakuhusu!

Umeenda kuoa kijijini mwanamke anakutegemea hadi pedi/pampas..

Mpaka umebaki resentful unawaita mkeo na mtoto wako financial vampires .

Eti kwa bikira ya siku moja!

Such a LOOSER!
 
Baada ya kudanganywa mia miambili,ukaachia nyuchi ikawekwa gogo,isitoshe sijui ndio umeahakuwa singomaza,

Unawaonea wivu wenye BIKRA na VYUMA VIDOGO….wewe endelea kuchapika tu hadi itoe majasho meupe….

Bado natafuta bikra😎.
Is this all..?!

Nikikuambia hujanishtua...ujinga wako ni wasted effort..
 
Hahaaaaaa eti LC300.

Bro unayo?
 
Rusha ngumi basi?!

Tena hii mada inakuhusu!

Umeenda kuoa kijijini mwanamke anakutegemea hadi pedi/pampas..

Mpaka umebaki resentful unawaita mkeo na mtoto wako financial vampires .

Eti kwa bikira ya siku moja!

Such a LOOSER!
Nenda milembe. Ukishapewa huduma nipe lipa namba
 
Huwa unakwenda kwa mnganga yupi katika harakati zako?

Huenda nyota yako haijaibiwa na kwamba wezi wametoroka na yangu.
It depends na dating pool yako. It's not likely ukute over 23 bikra yuko mtaani kama hasomi au hayuko mazingira ya kumpa uhuru mdogo.

Hata hivyo kuna mambo mengi duniani huwezi kuyamaliza. Bikra sio mafanikio.
 
Wewe utakua tu huna bikira. Hivyo umekuja kututhibitishia.
 
Mimi nafikiri ni suala la kukubaliana tu kwa sasa bikira zimekua adimu kwa sababu kama jamii tumefeli kwenye malezi. Lakini kusema bikira sio muhimu, hii haina kweli. Nikiwa na uzoefu wa mahusiano na wanawake wote yaani bikira na used, tofauti yao ni kubwa sana. Halafu mkuu standard sio insecurity.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…