Anita Makirita
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 1,520
- 2,422
Nyie msiokua nazo ndo mnajifariji kuwa ziko overated.Nimeona huku watu wako so desperate kupata bikira mpaka kutaka kuoa young girls vijijini huko...
Sawa utampata kigori huko kijijini, akija mtu huyu huwezi hata kufanya discussions nae sababu mko class tofauti, hamuwezi kuwa level moja mkadiscuss maendeleo...more likely kwanza umemzidi elimu..
Second bikira inatolewa siku moja, sio kwamba itaota kila siku, inatoka siku moja then una realise umebeba mtu mzigo huna chemistry nae, sio rafiki yako..hamna chemistry baada ya hapo ..mtuambie nyie mliioa vijijini is it worth kukaa na mzigo kama huu kisa tu bikira ya siku moja?!
Tatu sio kweli kuwa na bikira ndio mtu atabaki kuwa na uke mdogo(mnato)daima , hayo ni maumbile tu ya mwanamke, wanawake wanatofautiana ..huyo mkeo ambae ulimkuta bikira anaweza kuzaa na uke wake ukabaki mkubwa.(sio wote). Wide notion kuwa ukifanya sex mara nyingi uke unalegea ni myth, ni maumbile tu ya wanawake na tunatofautiana..
Mwisho nilishawahi kuuliza swali humu tangia muanze kuhubiri bikira nani kakutana nayo??? Out of millions of men wanaotumia JF pamoja na wale wanaume wenye fake ID 🤣🤣😆 ni wachache sana walikuwa na guts za kusema wamekutana nazo..majority ni hola, so bikira is overated here in JF...bebeni mangurumbembe yenu maisha yasonge...stop looking for a needle in haystack...
Wasalaam
Anita
Mimi huyoooooooo byeee
Should I feel offended..?!Nyie msiokua nazo ndo mnajifariji kuwa ziko overated.
Maelezo marefuuuu, kumaliza miti tu bure!
Huwezi uka attack hewa. Hakuna HOJA hapo, so ni ngumu ku attack kisichokwepo.Should I feel offended..?!
Nilitegemea wanaume wasio na hoja kuniattack sio kujibu hoja zangu..
Pathetic!
Una stress kunywa majiWewe kwa akili yako ile ni hoja?
Bwana toka wewe ni sawa na chupi ya mtumba atakaye kuoa ni either hana pesa au hana alternative.Should I feel offended..?!
Nilitegemea wanaume wasio na hoja kuniattack sio kujibu hoja zangu..
Pathetic!
Hahaaaaa kama huoni hoja kwa nini unajibu hii topic off all topics in JF.. chukua time hukoHuwezi uka attack hewa. Hakuna HOJA hapo, so ni ngumu ku attack kisichokwepo.
Umetumia kipimo gani cha stress kunipima..?!Una stress kunywa maji
At what age did you lose your virginity?Hahaaaaa kama huoni hoja kwa nini unajibu hii topic off all topics in JF.. chukua time huko
Hahaaaa unabisha?! Weka poll hapo wangapi wana pesa na hawajaoa bikira!?! ..seems you are out of touch/reality...amka idiotBwana toka wewe ni sawa na chupi ya mtumba atakaye kuoa ni either hana pesa au hana alternative.
Nahisi kinyaaa kuoa MWANAMKE asiwe na bikra
Ona ulivyo stupid, and what if I tell you?! Of what use?!At what age did you lose your virginity?
Tatizo hutaki kupewa fact unataka kujifarijiHahaaaa unabisha?! Weka poll hapo wangapi wana pesa na hawajaoa bikira!?! ..seems you are out of touch/reality...amka idiot
Nilikua nataka kumkumbusha kuwa kila mtu alikua nayo..mimi sio different na mama yakeSasa binti, mama si ni mwanamke ambaye ameshazaa.
Hiyo bikira inatoka wapi tena?
Ulitolewa bikra ukiwa ndoani ama ukiwa bado hujaolewa.Hahaaaa unabisha?! Weka poll hapo wangapi wana pesa na hawajaoa bikira!?! ..seems you are out of touch/reality...amka idiot