Bikra ajitokeze ndoa nyeupee!

THE BROKER

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
762
Reaction score
949
Kwa mdada yeyote aliyejitunza mpaka kufikia umri Wa miaka 23- 26 nampa zawadi ya ndoa bila kujali mrefu, mwembamba, mweupe, mweusi hata kabila haijalishi.

Awe mjasiriamali au kama ana elimu awe na degree na awe ameajiriwa au kujiajiri. Mimi ni kijana mchacharikaji Wa ukweli hutajutia kuja kwangu.

Kazi kwenu atakaewahi wa kwanza huyohuyo.
 
Unataka za kichina, za ndimu au Original. Nina wasiwasi utapata nyingi za kichina na ndimu.
 
Je weye ni bikra? Usitafute za wengine wakati weye ingekuwa inapikwa hotel yeyote isingeliiuza kwani ishakwisha ladha yake.
Huwezi pata ka weye ni fisadi
 
Mmmh...,bikira ndio ikupe ndoa..,hapo bado hutafanikiwa
 
Unajisumbua bure kutafuta bikra kwa wakati huu hiyo kitu akuna tena utaonekana mshamba bure kama unataka kuoa kamata zigo weka Ndani maisha yaendelee
 
Zinatengenezwa ww boya muangalie vile subiri nimpe issue malaya yule wa sinza
 
Kaka yangu anatafta bikra vip ndogo wako wa kike anayo????
 
Nani kakuambia mwanamke anamkubali mwanaume yyte kisa tu eti mchakarikaji? Au wanawake siku hizi wamekuwa bidhaa sio!?
 
weka picha yako na kiwango cha mal ulizo nazo sio uchakarikaji tu ndio nini? kama unataka kafara je?
 
Huu uzi KE hawapendi. ...wengi before 18th birthday washapoteza kuiulizia leo umechelewa sana
 
hivi nawe unabikira? nawe ulijitunza? acha hizo. nenda kijijini kwenu kaowe kwa taratibu zenu za kimila
 
Karne ya 21 unaulizia bikra kijana? Halafu unafikiri ndoa dili siku hizi hadi mtu akupe bikra yake kisa unataka kumuoa weee. Tangaza gari au nyumba bungalow utaipata bikra bila shida
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…