Ndugu,
Unachokiamini kinatokana na unachokijua,
unachokijua kinatokana na unachoona, unachosoma, unachojifunza.
Kama unachokiamini kina shida, shida haijaanzia kwenye unachoamini, bali unachokijua, au ulichojifunza/jaribu/soma.
Kubadili mtazamo wako, jitahidi kuongeza/kubadili unachokijua.
Pole sana kama hicho ndiko unachoamini.
Ajionavyo mtu nafsini mwake, ndivyo YEYE alivyo.