Bikira miaka 30

Are you serious bro?
Bikra bado zipo dunia hii?
 
Mwambie asiitoe maana yangu ina miaka 55 lakini bado nadunda nayo na sina wasiwasi ijekuwa huyo miaka 30!!

...mmm...hiyo yako inawezekana ikawa ni ya-kichina au kama bikla za uswahilini,limao na ndimu kwa wiiiiiingi...
 
asiogope unezakuta hata mume mtarajiwa wake pia bikira coz kumkuta mwanaume wa kuoa mwanamke kabda ya ngono...!!! mara chache sana..inaonekana kabisa atafurahia hali hyo
 
jmn hizo msg kweli dunia inafika mwisho "eeeeh mwenyezi mungu tusaidie"
 
bikira!? suala ni kujua kumridhisha mume tu. Mbona kuna wengine tumewatoa japo siku ya tukio walijua nin cha kufanya pamoja na maumivu na vilio vyao simply kwa kuwa saikolojikali walikuwa wamejiandaa kwa yatakayojiri mwilini mwao!
 

Maskini kumbe alidhani amebaki peke yake,mwambie aangalie kipindi cha RUBY kama an dstv huyo dada ana miaka 44 na yupo na mpenzi wake wote hawajafanya wanasubiri hadi mdada apungue unene waone na ndio wafanye
 
sio kwamba ana bikra ila hajawahi kufanya ngono ila bikra kwa sasa haiwezi kukaa kwa umri huu kwanz wakati wakujisafisha anatunia kidole sasa bikra itapatikana wapi

Sio wate wanajisafisha na vidole hadi ndani
 
Bikira siyo kizinda,bikira ni kile kitendo cha kutowahi kufanya mapenzi au kwa maana nyingine ni kile kitendo cha kutowahi kujamiiana.Kizinda kiwepo ama kisiwepo,bado mtu huyo husika,ama awe mwanamke au mwanaume,bado wote ni bikira.
 

Hata nami nilishakuwa na demu aliyekuwa nayo akiwa na 32 yrold nikaikata. ila sikujua kama naikata au kujua kuwa anayo; hakuwa kuniambia. Lakini akiwa anajua kwamba anayo akiwa pia ananisikilizia kama hayo mambo nayajua. Ukweli sikuwa nayajua ilia wakati tunaendela na mchezo nikamwuuliza unasikia maumivu? akanijibu hapana; du! nikaendelea lakini nikamwuuliza tena ngoma yako mbona ndogo? Au umeipa tigo!!! duu alichonijibu aliniambia unataka mchezo au vipi mbona maswali ya kifisadi hayo?. Tukamaliza mchezo wetu kwenye giza basi asubuhi namwuuliza ngoja nikakununulie pedi hapo dukani basi naona umeghafilika jana usiku ( periods maana yake). Akaniambia hata wala usishughulike na hiyo pedi damu tu ilitoka kidogo ikaacha...! Nilifurahije!!!!!!! tena sana kuikata bikira for the first time in my life. kwni wengine walikuwa wameshanikatia sana na mimi nimewakatia basi.

Ila sasa sikumwoa kwani she was too feminine na hasira nyingi. Sory for talking too much.
 
 
Kweli dunia ni kubwa mno na ina mambo mengi

Maskini kumbe alidhani amebaki peke yake,mwambie aa
ngalie kipindi cha RUBY kama an dstv huyo dada ana miaka 44 na yupo na mpenzi wake wote hawajafanya wanasubiri hadi mdada apungue unene waone na ndio wafanye[/
QUOTE]
 

Hapana ndugu
Aksante sana kwa kushare experiace,kuna mtu itamuinua.
 
Maskini kumbe alidhani amebaki peke yake,mwambie aangalie kipindi cha RUBY kama an dstv huyo dada ana miaka 44 na yupo na mpenzi wake wote hawajafanya wanasubiri hadi mdada apungue unene waone na ndio wafanye[/
QUOTE]

Miaka 44? Aisee
 
nami naungana na wengine kumpongeza dada huyo,kama kuna kitu cha thamani kwa mwanamke kumpatia mmewe siku wakioana ni hicho,ni ishara ya utulivu,uaminifu,mtu asiyefuata fuata upepo kama wengi mabinti wanajiingiza kwenye mambo hayo waonekane nao wamo.pia hatasumbuka wakati wa tendo la ndoa kujaribu kumlazimisha mmewe kufanya kitu ambacho alifanyiwa na mijibaba mengine hata kama hawezi kufanya kama wengine.
 

katika zurura zurura yangu ya ujana dadangu nimewahi kukutana na manzi mmoja mkenya na aliniambia kitu kilichonishangaza mno mno japo sikutaka aone nimeshangaa!aliniambia kwao ni ajabu mschana wa high school akawa bikira,chuo ndo kabisa!ataongea na nani?nini?anaonekana mtoto na mshamba hivo she dont belong to kundi la watu wa rika lake!na alikuwa mpya kabisa akiwa mwaka wa mwisho Nairobi Univ!Mungu alishanisamehe kwa nilichofanya ila huwa namkumbuka na kujisikia vibaya as alifanya ili tu awe 'miongoni mwa wanajumuia' wenzake.so,YES,inashangaza kwamba maadili yamekuwa aibu kwa jamii na hapo ndo jamii yetu ilipofikia!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…