Bikira miaka 30

Bikira miaka 30

Anajiskia aibu badala ya kuona fahari na kumshukuru Mungu kwamba aliweza kuruka vihunzi!
 
Hilo mbona si jambo la ajabu? Ninaawafahamu watatu ambao walipoteza u-bikra wao siku ya harusi katika umri wa 33-35 mmojawao ni shemeji yangu.

Atakapo sikia hili litamtia moyo sana.
 
Dah! Yaani kweli tumefika mahali ambapo mwanamke ama mwanaume kuolewa na bikira ni kitu cha fedheha?! Maadili yameenda wapi? Kweli? Soon tutaambiwa ni fedheha kwa mwanamke
ama mwanaume kutokua na nyumba ndogo!
Aisee! Soon itakua fedheha kutokuzaa nje ya
ndoa hata kwa wanawake,manake niliwahi
kushawishiwa eti kama kikivunjwa chungu
ama kukiwa na laana ya ukoo,basi kama
mwanamama kachakachua walau kuna
ambao hawataathirika!


I won't be surprised Mungu akikiri wanadamu tumemshinda!

Unajua tena ndugu pressure iliyopo katika jamii tunayoishi,anajiona kama yeye anamadoa katikati ya wenye mistari.
 
Nasapoti alichoongea king'asti,nothing more Dude!!
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya bikira na kuwa hajawahi fanya ngono. Inaweza ikawa hajawahi kufanya ngono lakini bado asiwe na bikira. Kutowahi kufanya ngono sio guarantee ya kuwa bikira. Bikira ni kizinda kinachoweza kuondoka kwa
mazingira tofauti tofauti ingawaje kubwa zaidi
ni ngono. Na hata kama bado anayo, bado
kuna tofauti kati ya bikira ya (say) msichana
wa miaka 16 na mwanamke mwenye huo
umri wa miaka 30. Katika umri huo, jama
anaweza akafanya nae ngono kwa mara ya
kwanza na wala asihisi chochote.....labda
tofauti atakayoiona ni ile ya hofu ya
mwanamke mwenyewe kama vile ya kutaka
kujihami labda kwa kutaka kubana miguu na
mambo mengine kama hayo. but am surem,
kama mwanamke atakuwa relaxed, kuna
uwezekano mkubwa jamaa asi-feel chochote
coz' nyonga zake zimeshatanuka vya
kutosha!!!

Nadhani pia anahofu ya kufanya jambo alilokuwa akilisikia kwa muda mrefu.
 
Ni Mwanamke mwenye umri wa miaka 30,ambaye anatarajia kufunga ndoa hivi karibuni na hajawahi kujamiiana na mwanamume anayetarajia kufunga naye ndoa wala hajamfahamisha kama yeye ni bikira katika umri huo wa miaka 30,kwani anajisikia aibu kubwa kuwa bikira katika umri huo.

Hivyo alichopanga kufanya kabla ya siku ya harusi ni kwenda clinic au kitui chochote cha afya kutoa bikira hiyo.

SWALI: Je ungepewa nafasi ya
kumshauri, ungemshauri aendelee na huo mpango wake au ungempa
ushauri gani?

Je wewe kama mwanaume,ungekuwa ndiyo huyo mume mtarajiwa na siku hiyo ukakuta bibi harusi ni bikira katika umri huo wa miaka 30 ungeipokeaje hali hiyo?

Ni kisa cha kweli.

duuuuh hongera zake kwa kweli yaan amebarikiwa huyo bwn anaeenda kumtoa bikira......asiende kuitoa ila amwambie mchumbaake ukweli kwamba hajawahi kujig jig natumai itamsaidia hiyo...ila kutolewa bikira ukubwani inauma hiyooo kama unataka kujifungua vile afu damu hata haitokagi ila mwanamume anaeza asiamini kama hana experience but kama anayo atajua tuu....kwahiyo wala asikuwe na wasiwasi amwambie mchumba ake na aombe kufundishwa...hongera huyo mdada 30yrs si mchezo etiiiii but na wengine pia wapo...
 
mmmh nilitaka kukuuliza swali kama ulivyoanza sentensi "mimi ni mwanamke........ any way baada ya kusoma hadi mwisho nimeelewa " sasa napita nitarejea kuchangia baadaye

Karibu.
 
mmmh!!kuna utataa..huyo jamaa anaowaa hata mzigo hajawai kuonjaa[kununua mbuzi kwenye gunia]je kama ingekuwa imezibaa,wanawake wengi wa kabila flani wako radhi kukupa back vocal ,mbele wanakwambia wanamuifadhia mme wa ndoa...ila mi kama mwanaume ningemkutaa bikira ningelipokea kwa furaha sanaa[ilaisithani kama mimi ningeweza, ningekutaa nishaitoaa bfr kuowaa cse ningekuwa nishapimaa ni mto au mfreji tiyari so asingekuwa bikira tena]
 
Hongera saana kwa kumtunzia mumeo, hiyo kitu inaonyesha hadhi kubwa sana kwa mwanamke, ukweli ndio huo ingawa wengine watapinga kwa sababu za kuficha uchafu wao.
 
Hilo mbona si jambo la ajabu? Ninaawafahamu watatu ambao walipoteza u-bikra wao siku ya harusi katika umri wa 33-35 mmojawao ni shemeji yangu.

sio la ajabu kweli...ila pia bikira za mchina zipo....
 
what afool? i cant believe she turned down all the opportunity for the past 30 yrs?
 
what afool? i cant believe she turned down all the opportunities for the past 30 yrs?
 
mshtuko ambao ningeupata cjui inngekuaje..kwanz nsingemwamin...nengeunda kamat ya uchunguz.
USHAURI.
ASiitoe iwe supryz na hoja kw mumewe mtarajiwa
 
Akiitoa, bado ataonekana unexperienced siku ya siku na huenda ika muirritate au kumdisappoint mumewe! Hivyo ni bora acome clean na kumueleza mchumbewe ukweli!

Uzuri wanaume wa kibongo/afrika bado wanashobokea bikira so it is a plus to her; ngoja waje wacomfirm wenyewe!

Kweli dunia imechakaa, kumbe siku hizi kuwa na bikra ni disqualification? ... I really didnt know this!!!!!!!!
 
Ha ha nacheka si kwa furaha, ila hilo la mto au mfereji haelewi hata lina maanisha nini.

mmmh!!kuna utataa..huyo jamaa anaowaa hata mzigo hajawai kuonjaa[kununua mbuzi kwenye gunia]je kama ingekuwa imezibaa,wanawake wengi wa kabila flani wako radhi kukupa back vocal ,mbele wanakwambia wanamuifadhia
mme wa ndoa...ila mi kama mwanaume
ningemkutaa bikira ningelipokea kwa furaha
sanaa[ilaisithani kama mimi ningeweza,
ningekutaa nishaitoaa bfr kuowaa cse
ningekuwa nishapimaa ni mto au mfreji tiyari
so asingekuwa bikira
 
mshtuko ambao ningeupata cjui inngekuaje..kwanz nsingemwamin...nengeunda kamat ya uchunguz.
USHAURI.
ASiitoe iwe supryz na hoja kw mumewe
mtarajiwa

Kwa nini usinge muamini ndugu?
 
Ni Mwanamke mwenye umri wa miaka 30,ambaye anatarajia kufunga ndoa hivi karibuni na hajawahi kujamiiana na mwanamume anayetarajia kufunga naye ndoa wala hajamfahamisha kama yeye ni bikira katika umri huo wa miaka 30,kwani anajisikia aibu kubwa kuwa bikira katika umri huo.

Hivyo alichopanga kufanya kabla ya siku ya harusi ni kwenda clinic au kitui chochote cha afya kutoa bikira hiyo.

SWALI: Je ungepewa nafasi ya
kumshauri, ungemshauri aendelee na huo mpango wake au ungempa
ushauri gani?

Je wewe kama mwanaume,ungekuwa ndiyo huyo mume mtarajiwa na siku hiyo ukakuta bibi harusi ni bikira katika umri huo wa miaka 30 ungeipokeaje hali hiyo?

Ni kisa cha kweli.

sikujua kwa m.mke akiwa na bikira ni aibu... while ndoto za wanaume wengi kuja kupata mke ambaye ni bikira . so huyo mume wake ana bahati.. mwambie huyu shori kwamba bikira sio aibu...


 
Back
Top Bottom