Bikira miaka 30

Anajiskia aibu badala ya kuona fahari na kumshukuru Mungu kwamba aliweza kuruka vihunzi!
 
Hilo mbona si jambo la ajabu? Ninaawafahamu watatu ambao walipoteza u-bikra wao siku ya harusi katika umri wa 33-35 mmojawao ni shemeji yangu.

Atakapo sikia hili litamtia moyo sana.
 

Unajua tena ndugu pressure iliyopo katika jamii tunayoishi,anajiona kama yeye anamadoa katikati ya wenye mistari.
 
Nasapoti alichoongea king'asti,nothing more Dude!!
 

Nadhani pia anahofu ya kufanya jambo alilokuwa akilisikia kwa muda mrefu.
 

duuuuh hongera zake kwa kweli yaan amebarikiwa huyo bwn anaeenda kumtoa bikira......asiende kuitoa ila amwambie mchumbaake ukweli kwamba hajawahi kujig jig natumai itamsaidia hiyo...ila kutolewa bikira ukubwani inauma hiyooo kama unataka kujifungua vile afu damu hata haitokagi ila mwanamume anaeza asiamini kama hana experience but kama anayo atajua tuu....kwahiyo wala asikuwe na wasiwasi amwambie mchumba ake na aombe kufundishwa...hongera huyo mdada 30yrs si mchezo etiiiii but na wengine pia wapo...
 
mmmh nilitaka kukuuliza swali kama ulivyoanza sentensi "mimi ni mwanamke........ any way baada ya kusoma hadi mwisho nimeelewa " sasa napita nitarejea kuchangia baadaye

Karibu.
 
mmmh!!kuna utataa..huyo jamaa anaowaa hata mzigo hajawai kuonjaa[kununua mbuzi kwenye gunia]je kama ingekuwa imezibaa,wanawake wengi wa kabila flani wako radhi kukupa back vocal ,mbele wanakwambia wanamuifadhia mme wa ndoa...ila mi kama mwanaume ningemkutaa bikira ningelipokea kwa furaha sanaa[ilaisithani kama mimi ningeweza, ningekutaa nishaitoaa bfr kuowaa cse ningekuwa nishapimaa ni mto au mfreji tiyari so asingekuwa bikira tena]
 
Hongera saana kwa kumtunzia mumeo, hiyo kitu inaonyesha hadhi kubwa sana kwa mwanamke, ukweli ndio huo ingawa wengine watapinga kwa sababu za kuficha uchafu wao.
 
Hilo mbona si jambo la ajabu? Ninaawafahamu watatu ambao walipoteza u-bikra wao siku ya harusi katika umri wa 33-35 mmojawao ni shemeji yangu.

sio la ajabu kweli...ila pia bikira za mchina zipo....
 
what afool? i cant believe she turned down all the opportunity for the past 30 yrs?
 
what afool? i cant believe she turned down all the opportunities for the past 30 yrs?
 
mshtuko ambao ningeupata cjui inngekuaje..kwanz nsingemwamin...nengeunda kamat ya uchunguz.
USHAURI.
ASiitoe iwe supryz na hoja kw mumewe mtarajiwa
 

Kweli dunia imechakaa, kumbe siku hizi kuwa na bikra ni disqualification? ... I really didnt know this!!!!!!!!
 
Ha ha nacheka si kwa furaha, ila hilo la mto au mfereji haelewi hata lina maanisha nini.

 
mshtuko ambao ningeupata cjui inngekuaje..kwanz nsingemwamin...nengeunda kamat ya uchunguz.
USHAURI.
ASiitoe iwe supryz na hoja kw mumewe
mtarajiwa

Kwa nini usinge muamini ndugu?
 

sikujua kwa m.mke akiwa na bikira ni aibu... while ndoto za wanaume wengi kuja kupata mke ambaye ni bikira . so huyo mume wake ana bahati.. mwambie huyu shori kwamba bikira sio aibu...


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…