Bikira inanitesa


hiki cha ngara mtoni si bure laraa unavituko.
 
Nimeamini jf kuna mambo, watu wakiamua? Ni juzi tu nilikuwaa mji kasoro, nilipelikwa juujuu bila kutua! Sikuelewa, pamoja na uabove fifty wangu. Huyo yuko a little bit above twenty. Mkuu Lara1, kama uko hivyo au zaidi, lol! Avatar.
 
Mie nina ushauri kwamba ifikie wakati tuwe tunaangalia topic za kuweka humu.walau kama si za kujenga taifa au kuelimisha basi zichekeshe ila sio zisizo na kichwa wala miguu.Hii topic hapa chini maana yake ni nini kwani wewe ni muharibifu wa dada zetu alafu unajisifia ujinga tu.Unatoa birka za watu pasipo kuoa alafu unataka umpate mwenye bikra kivipi.? Badilika mtoa mada.

 
we muharibifu wa watoto/dada za watu.
Unayoyatenda nakuhakikishia yatakuja kuwakuta wanao/dada zako.
Tubia kwa mola wako na ujitulize uoe.

Ha ha ha.. Ndo yale ya kila mzinifu atajaziniwa.. hata na ukuta..
 
Its obvious utakuwa una kula Vitoto ie WanaFunzi wa SecondarY na Imagine utakuwa una Umri Gani ....

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Kaka kwa uwiano wa 85% kwa 15%.. bikra shule za secondary ni za kutafuta kwa tochi.. Shaka yangu anaenda kwa wanafunzi wa primary.. Kuanzia darasa la 5 kushuka chini..
 

Njoo ufanyiwe maombi!
 

MUNGU akurehem!
 
Acha tamaa za kijinga hao uliowatoa bikra unawachezea unawaacha unajisikiaje kama ni wewe ndo ungekuwa unafanyiwa hivyo!
 

MUNGU akurehem!
 
daaa!! mungu anisamehe

inaelekea wewe ni muharibifu wa watoto wa shule we call them minor under 18, pili hivi wewe una dada? tatu wewe ni muongo sana kwani huwezi kumfuatilia msichana kwa muda wote huo kwa tabia yako ya hoovyoooo

pole na badilika
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…