Bikira inanitesa


Aisee LARA duhh!!
 
Last edited by a moderator:
Huna akili kuumiza watoto wa watu mioyo. What goes around comes around.
 

Cha msingi ni wewe kuacha huo upuuzi!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 

Subiri na wewe utakapotolewa yako bikira na wenye dada zao nadhani ndipo utakapo acha huo ufirauni...na hakika mwaka huu haupiti
 
Sasa hao mabikira kwa enzi hii unawapata wapi kama sio watoto wetu wa shule we mkaka?Achana na hii mambo sababu na wewe utakuja kua na familia na unaweza ukajaliwa watoto,usishangae mtoto wako wa kike akitolewa bikira akiwa darasa la kwanza si unajua yale unayoyatenda sa ivi yatakuja kureflect kwa kizazi chako either watoto au wajukuu.Halafu yakitokea unaanza kujiuluiza "huyu mtoto sijui katokea wapi,anatabia mbaya"
Kama unashindwa kuacha mwenyewe basi unahitaji msaada wa kitaalamu upate ushauri.
 
we mharibifu tu huna lolote! sasa ushauriwe nini wakati hiyo ndio style ya maisha uliyoichagua?
 
:majani7:kwa hiyo unaona siiiiiiiiiiiiiiiiiiiiifa mwenyewe? :A S angry:
 
mhhh bikiraholic...someday utakuja kupenda mtu na sio "kizibo"
 
Nini kinakufanya ushindwe kuacha hiyo tabia mbaya unayoionea sifa?

kwanza jiulize wewe mwenyewe unayo hiyo bikra? sasa kwa nini utafute bikra za wengine? Wathamini wengine kama ambavyo ungependa wewe uthaminiwe!
 
Unahitaji maombi wewe. Wewe mbona umewatoa bikira hao wadada 6 na hujawarudia tena?? Kwa hiyo wewe ndo unatembea na watoto wa shule???
 
Zinaa ni deni subiri utakuja kulipa kwa mwanao,dada yako,mama yako,hata mkeo? Yeyote mwenye kuzini kwenye nyumba ya ndugu yake kwa kipande cha pesa kwake kutaziniwa bure!
 
labda siyo kosa lako, chunguza tabia za baba yako, lakini hii tabia ni chafu sana! BOra tukukose wew kuliko kuendleza hii tabia
 

Kuna msemo mmoja wa waislamu Uliopokelewa kutoka kwa Mtume Muhammad (S.A.W) amesema, "Hakika ya zinaa ni deni, mwenye kuzini kwa mwenizie kwa pesa kwake kutaziniwa bure. Mwenye kuzini kwa mama dada mtoto shangazi wa mwenzie basi ajue na wakwake ni hivyohivyo" Mwisho wa kunukuu.
 
Ukipata watoto utalia na hutaweza wasaidia, mke wako atakuwa malaya wakupindukia, watoto wako wakike watatendwa,watoto wako wakiume watakuwa Sodoma na GOMORA, Wewe utatafuta mtu akutenda kama mtu mume alalavyo na mke iwe hivyo na uzao wako ukome katika nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…