Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
hebu tutake razi....watu tuna 6pack zetu....tumetulia.....
Issue hapa ni, kwa nini walikuwa hivyo? Kuna moja ana shanga kwenye chupi mwingine tumboni. Lahaula lakwata!
Ni kweli, ila good luck hawana vile vipele vipele au mabaka meusi . . . hope u know what I mean . . .
Kwa kweli wametulia ila huyo wa pili kuoka kushoto nywele zimetokeza juu vp hakuna viwembe? Anyoe bana.
Mkuu hata si elewi ina maana gani lakini baadhi ya wadada ukiwaangalia miguuni utaona ama wana vikovu vyeusi au vya rangi tofauti na ngozi ya mwili. Sasa wakivua nguo si ni itakuwa balaa?
Kwa kweli wametulia ila huyo wa pili kuoka kushoto nywele zimetokeza juu vp hakuna viwembe? Anyoe bana.