Mradi imeeleweka!TLP na wewe sio TRP
Halafu biharamulo ipi unayozungumzia hii ya majungu au....
Akili zako zina upenyo zinavujaHuyu mbunge kijana sio size ya wabunge waliowahi kupita katika jimbo la biharamulo tangu enzi za ushindani wa John Magufuli na Phares Kabuye na baadae kugawanywa na kuwa biharamulo magharibi na mashariki na baadae chato
Ukimsikiliza utaona utaofauti mkubwa kwenye jimbo ambalo limetawaliwa na vyama vya TRP , CHADEMA na CCM huyu kijana yupo vema ndani ya kundi kubwa la wabunge wa CCM bungeni.
Hoja za maendeleo ya miaka mitano ya serkali mchango wake umekuwa moto hasa eneo la AJIRA KWA vijana na viwanda.
Mm USSR ambaye sio mpiga zumari KWA wanasiasa nadhani huyu ndio wanabiharamulo wanamtegemea kwa sasa
USSR
Sasa nyie kama hamgombei unategemea nini ?hata punda atawaongoza tu.Nipo Biharamulo hapa hakuna jipya alilofanya narudia tena hakuna kazi kuonekana usiku stand akigawa soda na kahawa mpuuzi Yule mbayaa zaidi alikuja kugombea tu hapa si mkazi wa huku kabisa
Kwahiyo huyo mbunge una mfananisha na punda?Sasa nyie kama hamgombei unategemea nini ?hata punda atawaongoza tu.
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Kwani kuwapa watu soda ni ujinga ,huyu ni mkazi wa biharamulo wa kuzaliwa ulitaka aje aishi na mkeoNipo Biharamulo hapa hakuna jipya alilofanya narudia tena hakuna kazi kuonekana usiku stand akigawa soda na kahawa mpuuzi Yule mbayaa zaidi alikuja kugombea tu hapa si mkazi wa huku kabisa
Kweli ukiwa uvccm inabidi ujitoe akiliKazi za mbunge ni nyingi kuanzia kutoa gari la kazi jimboni hadi miswada ya maendeleo
USSR
Gaidi ni Hamza mwana ccm na hilo halina ubishiKama gaidi mbowe ,mm sio kilaza wa ufipa la wewe nafuatilia maendeleo sio uharakati njaa
USSR
So hizo akili za kujua mambo madogo ndio msingi wa wajinga
USSR
Wewe utakuwa umevurugwa mtu kwao ni hapo amesoma hapo unasema sio mkaziNipo Biharamulo hapa hakuna jipya alilofanya narudia tena hakuna kazi kuonekana usiku stand akigawa soda na kahawa mpuuzi Yule mbayaa zaidi alikuja kugombea tu hapa si mkazi wa huku kabisa
Wakitoka vijiweni wewe unaona sio wapiga kuraSasa wewe kipi kikubwa ulichojua yaan wewe huna akili kama unaweza kusema biharamulo inapata maendeleo na nina uhakika nyie ndio wale mnaokaa kwenye vijiwe vya kahawa pale sokoni... wilaya inayozidiwa na kakonko
Unaonekana ulipewa soda ya mirinda na mbunge.Kama gaidi mbowe ,mm sio kilaza wa ufipa la wewe nafuatilia maendeleo sio uharakati njaa
USSR