Biharamulo sasa ina mbunge baada ya miaka mingi

Huyu mbunge kijana sio size ya wabunge waliowahi kupita katika jimbo la Biharamulo tangu enzi za ushindani wa John Magufuli na Phares Kabuye na baadae kugawanywa na kuwa biharamulo magharibi na mashariki na baadae chato

Ukimsikiliza utaona utaofauti mkubwa kwenye jimbo ambalo limetawaliwa na vyama vya TLP , CHADEMA na CCM huyu kijana yupo vema ndani ya kundi kubwa la wabunge wa CCM bungeni.

Hoja za maendeleo ya miaka mitano ya serkali mchango wake umekuwa moto hasa eneo la AJIRA KWA vijana na viwanda.

Mm USSR ambaye sio mpiga zumari KWA wanasiasa nadhani huyu ndio wanabiharamulo wanamtegemea kwa sasa

USSR
Chawa kazini
 
Wewe ni CHAWA MKUBWA
 
Pia sasa Biharamulo tuna Afisa Mipango sio yule Lofa Lukas anayejua kujipendekeza na kuchochea wenzake kwa DED. Huko alipoenda wana kazi maana Muha yule sio mchezo sijui watumwa vetting wanafanya vet ya nini kwenye ukuu wa Idara.
 
Lukas hafai hata kurumangia

USSR
 
Sasa wewe kipi kikubwa ulichojua yaan wewe huna akili kama unaweza kusema biharamulo inapata maendeleo na nina uhakika nyie ndio wale mnaokaa kwenye vijiwe vya kahawa pale sokoni... wilaya inayozidiwa na kakonko
Njoo ugombee ,jipime ubavu

USSR
 
Back
Top Bottom