kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,647
- 9,574
Unayoyasena ni kweli ila.kwa miaka ya karibuni kumekuwepo na operation kwenye hayo mapori ukihusisha Pilice, Magereza, Jw na Uhamiaji ambazo huwa na matokeo.mazuri kama kukamata silaha za kivita kukamata wahalifu ambao ni majangili na majambazi, maliasili kama mbao na mifugo.Kuwapeleka JWTZ huko mnakuwa mnawaonea kwa kuwa mnakuwa mnawaweka katika majukumu ambayo hayajabase kwenye fani yao
JWTZ fani yake kupambana na jeshi ambalo ni standing army lenye mizinga, vifaru n.k na sio kupiga patrol kwa ajili ya armed robbers
Huko inatakiwa vijengwe vituo vingi vya Polisi vikubwa vikubwa na kambi za FFU kila wilaya
Udhaifu wa Operation hizi ni kua hufanyika mara chache kwa mwaka hivyo ni rahisi kwa wahalifu kwafanya timing .