Biharamulo irejeshewe brigade JWTZ, Rada ya kisasa ili control Rwanda, Burundi, Uganda, S.Sudan & Congo

Kuwapeleka JWTZ huko mnakuwa mnawaonea kwa kuwa mnakuwa mnawaweka katika majukumu ambayo hayajabase kwenye fani yao

JWTZ fani yake kupambana na jeshi ambalo ni standing army lenye mizinga, vifaru n.k na sio kupiga patrol kwa ajili ya armed robbers

Huko inatakiwa vijengwe vituo vingi vya Polisi vikubwa vikubwa na kambi za FFU kila wilaya
Unayoyasena ni kweli ila.kwa miaka ya karibuni kumekuwepo na operation kwenye hayo mapori ukihusisha Pilice, Magereza, Jw na Uhamiaji ambazo huwa na matokeo.mazuri kama kukamata silaha za kivita kukamata wahalifu ambao ni majangili na majambazi, maliasili kama mbao na mifugo.
Udhaifu wa Operation hizi ni kua hufanyika mara chache kwa mwaka hivyo ni rahisi kwa wahalifu kwafanya timing .
 
Bwana wee kumbe hadi magereza na uhamiaji walishikishwa silaha kutafuta wahalifu huko misituni?
 
Bwana wee kumbe hadi magereza na uhamiaji walishikishwa silaha kutafuta wahalifu huko misituni?
We jamaa unamaanisha Magereza hawashiki silaha?jamaa wanazo silaha za kutosha ambao hawashiki silaha sana ni Uhamiaji ila wanapiga depo na wana mafunzo kamili ya utumiaji silaha.
 
nimemkumbuka kalembo aliwahi kuwa mkuu wa mkoa wa morogoro wakati fulani
. kwa sasa sijui atakuwa wapi aisee,alikua pic sana yule mzee.
 
We jamaa unamaanisha Magereza hawashiki silaha?jamaa wanazo silaha za kutosha ambao hawashiki silaha sana ni Uhamiaji ila wanapiga depo na wana mafunzo kamili ya utumiaji silaha.

Wamewaonea sana mkuu

yaani mfano mi ni mtu wa magereza uniambie nikarushiane risasi na wahalifu wa msituni?!! kama mi kamanda nawagomea mbona
 
Wamewaonea sana mkuu

yaani mfano mi ni mtu wa magereza uniambie nikarushiane risasi na wahalifu wa msituni?!! kama mi kamanda nawagomea mbona
Mkuu police Magereza wote wanapiga depo Magereza wanapiga depo.miezi 6 baada ya JKT na police miezi 9 baada ya Jkt pia na wana mbinu za kupambana na wahalifu na wanapitia skills za mapambano msituni(medani za kivita) japo sio advanced kama Jw so wanao uwezo wa kuendesha operation kama hizo.
Wale ni wahalifu bado hawajafikia level ya uasi so hawahitaji nguvu kubwa kupambana nao.mapaka litumike jeshi kamili.
 
Kuwapeleka JKT wizara ya mambo ya ndani ni siasa tu za wanasiasa wetu wa bongo
 
Kuwapeleka JKT wizara ya mambo ya ndani ni siasa tu za wanasiasa wetu wa bongo
Vijana wanaanza kupiga kozi JKT miezi 6 then wanaaniriwa na majeshi mengine iliwemo Magereza na police so wako vizuri kwa operation kama hizo
 
Matapishi kumbe ni matusi? Nilikuwa sijui na labda nichukue tu nafasi hii adhimu / murua kukushukuru mwana BAKITA Wewe kwa leo hii kuweza kunielimisha kuwa neno ' Matapishi ' ni tusi.
Mkuu busara ni muhimu sana tunapojadili mambo ya msingi kama haya kimsingi neno matapishi kwa tafsiri ya harakaharaka mana yake ni takataka moja kwa moja umemdhalilisha mtoa hoja kwa kulitumia neno matapishi tujifunze kuwa wastaarabu sio mtu anakuja na hoja ya msingi wewe unakuja kushusha uharo wako hapa kua na busara bwana mdogo
 
Sidhani kama malalamiko haya yanahitaji brigedi FFU inatosha.
Kile unaona wewe kuwa strategic point inaweza iwe au isiwe kulingana teknologia ya leo
Jeshi letu linatosha na kubaki kukabili hizo changamoto.
Tuna control hizo nchi 5 tukiwa hapa bwasi. Tena la laptop tu.
Kuhusu utekwaji wa mabomu mtaani tumekupata ni swala la intelijensia ikijumuisha nyie wananchi siku hizi hata maswala ya usalama wenu mmeyaweka kisiasa.
Kipindi cha JK nyerere balozi wa nyumba kumi alikuwa informer mzuri leo na simu zenu za kuparasa mnashinda mitandaoni kukosoa serkali ya Wanyonge.
Acha tunyoshe nchi
 
Mkuu busara ni muhimu sana tunapojadili mambo ya msingi kama haya kimsingi neno matapishi kwa tafsiri ya harakaharaka mana yake ni takataka moja kwa moja umemdhalilisha mtoa hoja kwa kulitumia neno matapishi tujifunze kuwa wastaarabu sio mtu anakuja na hoja ya msingi wewe unakuja kushusha uharo wako hapa kua na busara bwana mdogo

Neno langu ' Matapishi ' na lako hili Wewe la ' Uharo ' yana tofauti wowote hasa Kiukali wa maneno? Idiot.
 
mkuu r.b, una uhakika kwamba kamanda tossy alichemsha,unasahau kwamba wakati yupo yeye huko kulikua shwari sana,hebu rejesha kumbu kumbu zako vizuri kuhusu mkoa wa kagera na kamanda tossy
 
Gharama inaweza kuwa kikwazo. Brigade ina wapiganaji elfu tano ambapo hapo ina maana unahitaji ujenge zaidi ya nyumba elfu tano na hapo bado hujajenga majengo mengine mengi mengi ya gharama for variety of purposes, ujenge installation mbali mbali, ujenge kiwanja cha ndege, isitoshe hapo inatakiwa brigade hiyo imebase maeneo mengi na kila eneo kupewe/kuwekewe miundombinu ya afya, barabara nzuri,maji n.k

Kuna military hardware ya ghali inahitajika hapo, kuanzia APC's, AFV, IFV, light utility vehicles n.k, pia unahitaji ununue malorry makubwa yasiyopungua mia moja kwa ajili ya logistical support. Bado pia Brigade lazima iwe na tactical support weaponry ambazo ni ghali mfano artillery pieces za kutosha kuwa na Battalion kabisa ya mizinga, itatakiwa kuwepo pia na Battalion ya vifaru hapo hapo na we mwenyewe utakuwa na idea ni jinsi gani vifaru ni bei ghali.

Na gharama nyingine nyingi nyingi, gharama hizo ndio zimefanya nchi nyingi za dunia ya tatu kuorganize majeshi yao katika organizational level ya Brigade na tena brigade chache
Hapo umesema kweli mkuu
 
mkuu r.b, una uhakika kwamba kamanda tossy alichemsha,unasahau kwamba wakati yupo yeye huko kulikua shwari sana,hebu rejesha kumbu kumbu zako vizuri kuhusu mkoa wa kagera na kamanda tossy
1153206
 
Back
Top Bottom