Bigirita What Happened my Brother

Karibu Korogwe. Korogwe raha sana, hakuna Siasa wala mbuga za wanyama.
Nasikia Dar kuna simba huko mbagala, sokwe huko mikocheni na nyani na tumbili huko changanyikeni.

:lol::lol::lol:
 
Jamani nipo nae hapa pembeni nampa tuisheni, ila anasema amewamic sana atarudi baada ya wiki moja :lol::lol::lol:
asee......Bigie anahitaji mapumziko, tuisheni taratibu bibie!
 
Karibu Korogwe. Korogwe raha sana, hakuna Siasa wala mbuga za wanyama.
Nasikia Dar kuna simba huko mbagala, sokwe huko mikocheni na nyani na tumbili huko changanyikeni.

Ha ha haaaa, mkuu si wafungue mbuga ya wanyama!!!!
 

Memo shauri yako usije na wewe ukala BAN umenichekesha maana duh asante mwaya
 
Mohammed Shossi amekuwa kinara wa kundi hili.
Kawachongea wengi sana.

Mimi sitaki unafki nimeona bora niweke hadharani no matter BAN.
 
Poa swetie baadae nitakuwepo nipo so down 2day sijui ndo mambo ya period lol :lol::lol::lol:

Pole sana ndo maana juzi ukawa na na na na nini vile aahhh si ya huku tutaongea kule
 
Pata kiroba!
Kiroba kitaondoa period? we Elia weweeee!
Halafu ujue anampa Bigie tuisheni, tuisheni na viroba haviendani kabisa,.....tuisheni itageuka kuwa match/ sorry National exams
 
Ingawaje wakuu walisema hizi ban huruhusuwi kuomba lakin naona dalili bado unaweza kuomba
 
Mohammed Shossi amekuwa kinara wa kundi hili.
Kawachongea wengi sana.

Mimi sitaki unafki nimeona bora niweke hadharani no matter BAN.
Marytina dear, Bigie anakusalimu sana.
Anaenjoy mapumziko yake.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…