Mkuu chief, vipi kuhusu HTC Sprint, inaonesha inafungua mafaili ya ms office na ina 'office mobile' lakini nikifungua fail kutoka kwenye e-mail inagoma?
Add to the list jiayu g3, baadhi ya product nzuri from china 4.5 inch ips hd resolution 1gb ram 1ghz 4gb storage upgradable to 32 gb corning gorrila glass, 2750 mah hapo usumbufu wa charge hakuna. Japo kuipata lazima uagize from china

mkuu kuna simu nyingi za china nimeziacha sababu kibongo zipo compatible na zantel tu. Hio simu ina gsm?