Hayo mapenzi ya kuviziana viziana, mnapimana kwa uongo uongo ni upuuzi mtupu!Kwenye video hii kuna mwanamke anayewapatia ushauri watoto wa kike. Baadhi ya wanawake wamemuunga mkono sana huku wanaume wakionesha kuwa ameongea tope.
View attachment 3554931
Ukitazama ushauri wake ni sawa na kusema
“When You Get a New Girlfriend, Tell Her You will be Fired from Job in Two Months Away and See What she’s Truly Capable Of”.
KWAKO NI BIG YES AU BIG NO.
changamoto inakuja tunapimana na wangapi mpaka liniHayo mapenzi ya kuviziana viziana, mnapimana kwa uongo uongo ni upuuzi mtupu!
Bwashee huwa unaongea kitu cha maama sana ila watu wanakipuuzia na kuona ni cha kawaida tu🤔
Big No.Kwenye video hii kuna mwanamke anayewapatia ushauri watoto wa kike. Baadhi ya wanawake wamemuunga mkono sana huku wanaume wakionesha kuwa ameongea tope.
View attachment 3554931
Ukitazama ushauri wake ni sawa na kusema
“When You Get a New Girlfriend, Tell Her You will be Fired from Job in Two Months Away and See What she’s Truly Capable Of”.
KWAKO NI BIG YES AU BIG NO.
Maswala ya mahusiano huaga hayanaga miongozo, linavyokuja unalipokea hivyo hivyo...Bwashee huwa unaongea kitu cha maama sana ila watu wanakipuuzia na kuona ni cha kawaida tu🤔
Hivi mkuu , ulishawahi kuwa kwenye hali ya utani ( mizaha) na kuenjoy tu 😅Big No.
Ukishaona haja ya kumdanganya mtu ili umjue kama ni mzuri au mbaya, huko kudanganya kwako kumekufanya wewe uwe mbaya kabla hujamjua huyo mtu ni mzuri au mbaya.
Sure broMaswala ya mahusiano huaga hayanaga miongozo, linavyokuja unalipokea hivyo hivyo...
Linavyoondoka unaliachia hivyo hivyo...
Uzi ufungwe, 😂😂😂😂Maswala ya mahusiano huaga hayanaga miongozo, linavyokuja unalipokea hivyo hivyo...
Linavyoondoka unaliachia hivyo hivyo...