BIG WEEKEND!! maoni plzzz!!

BIG WEEKEND!! maoni plzzz!!

KICHUMVI

Senior Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
113
Reaction score
14
habar wana jf
katika harakat zangu za kumtafuta mwenza kuna binti mmoja nimekutana nae facebook tukabadilishana namba
yeye ni mwanafunzi wa chuo fulani hapa dar na kwao ni nje kidogo ya mkoa wa dar.kiukweli kwenye picha alizotupia ni mzuri na mwenye mvuto mbele na mwanaume yoyote, nilitamani sana kumwona uso kwa uso kwa kumpromis kuwa nataka nimtoe lunch.tulikuwa tunawasiliana vizuri tu kwa sms za g9t na nyingine nyingi.tar 26 mwezi 10 cku ya eid el hajji nilimwomba tukutane lakin alikataa na akaniambia tufanye tar 27 jumamosi asubuhi anaenda kwao ndiyo nitumie muda huo kuonana nae,mi asubuhi na mapema ya jmos mpaka hostel kwao,du!! aise kumuona tu i waz so confused she is beautifull kuliko picha on facebook.nikamchukua mpaka kwao nje kidogo na jiji la dar,then mi nikarudi lakin ckututamani niondoke yaan she is my type, tuliongea mengi kwenye gar lakini c kuhusiana na mapenzi.
KIUKWEL nilitokea kumpenda kweli lakin sikumwambia nilihisi ni mapema mno tukawa marafiki wa karibu na mara nyingi nilikuwa namchukua kumpeleka kwao na kumrudisha hostel.
story imeanzania hapa
wikend hii sasa kama kawa nilimpeleka lakin nilikuwa busy ckuweza kumfuata alirudi mwenyewe mpaka ubungo nikamchukua mpaka hostel then nikarudi kama mida ya saa mbil usiku wakati nampeleka hostel shemej yangu alikuwa ananipigia simu kwan nilikuwa na ahadi ya kukutana nae ila nilishindwa kupokea cm yake coz i waz driving! tumezoeana sana mpka kuitana wapenzi,nilipomwacha bint hostel tu nikaamua nimpikie shemeji kwa kumwambia NAKUJA MPENZI da!! mara nashangaa mtu anashangaa kustuka kumbe nilichanganya namba na kumpigia yule bint,alikata cm na kuzima mida ya saa 6 ucku akawasha akanipigia akaniambia nimfuate eti ajisikii kulala yupo peke yake wenzie wametoka,duuu! nikawasha gar fasta, hostel ni mbali na nilipo nikafika kama saa 7 kasoro,nikamchukua ila nilikuwa nawaza kuna nini na nimpeleke wapi! ucku huu.
nikapata wazo ila ckumwambia mpaka nafika hotel fulan nikamwambia naomba tupumzike hapa alikataa eti hawezi kulala hapo nimrudishe hostel kesho anakipindi saa mbili asubuhi! daaa! ila nilimlazimisha akakubari kwa ahadi kabla ya saa mbili kesho awe hosteli!
basi nikafanya utaratibu wa malipo tukazama ndani ckuamini kulala
kitanda kimoja na mtoto mzuri kama yule weweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! sikuweza kufanya chochote ila nilionesha kama mwanaume kamili kwa kumwitaji lakini alikataa kata kata ckumlazimisha tena, basi tukiwa kitanda nikachukua nafasi ile kumwambia kuwa nampenda na naitaji kuwa na mahusiano nae,akaniadithia history yake ya mapenzi kuwa ana mpenzi ila sio mtanzania na hayupo tayar kuolewa nae kwahiyo mimi amenipa nafasi ya spear tyre
jamani wana jf naombeni maoni,mawazo ushauri kwa sababu nahisi kumpenda sanaaaaaaaaaaa
 
wewe kubali tu mhakikishie pia wewe ni oko dawa ya majimaji inayozuia pancha
 
If you look like a spare tire then you are done. Ushaambiwa ana mchumba sasa unategemea nini zaidi ya kuliwa vyako na ukaanza kulalama hovyo/ Hebu tia akili hakutaki na alivyokubali kulala nawe hata kama hamkufanya kitu anaweza kulala na mtu mwingine wakafanya kit. She is not trustworthy kama alivyokuonyesha. Saa nyingine hata huyo mchumba hana anataka kukudatisha.
 
Madem wa Chuo wape "C" tatu na huo spare tyre utaisha
C=CAR
C=CREDT
C=CASH
Hivi,mbona tunapenda kujirahisi namna hiyo,hadi unapewa chaguo la kuwa spare tyre au la!
Au ndio kupenda?
Huko ni kupenda au kuvutiwa na mwonekano wa nje tu?
Nachojua mimi mjomba,,NYUMBA NJEMA SI MLANGO,FUNGUA UINGIE NDANI
 
Yaani wewe umekutana nae for the first time, na unasema karibu kila wknd ulikuwa unampeleka kwao. Kwani wknd ngapi zimeshapita toka eid?
 
ugomvi wa "nakuja mpenzi" uliishia wapi? pengine nae alijihisi ni spea tyre
 
Take your chances...you never know, main tyre can get flat, and spare tyre become main tyre...na tumia nafasi hiyo kum'win'.

Angalizo: utakapomu'win' na kuwa main tyre, jua kutakuwa na spare tyre nyingine trying to win out! But heeey, thats life man. Have fun..
 
It doesn't matter if yo a spare tyre or spanner, muulize kama anakupenda au lah. Kama hana upendo kwako basi ndugu nakushauri upunguze speed maana mwisho wa siku utaishia kulia wewe, utatumika ipasavyo.
Suala la yeye kusema ana mtu nje huenda pia lisiwe na ukweli wowote,kwa jinsi nilivyosoma maelezo yako bado sina uhakika sana if she's a gold digger or she's in for really maana FB nayo mmmh halafu ukichanganya na kuwa mtoto wa chuo...
 
Back
Top Bottom