Big up to Airtel

Big up to Airtel

inaitwa nitoke vipi?

Anatumia nguvu nyingi kusaka umaarufu ambao hauna maana tena kwa fake Id na umaarufu wenyewe eti wa kutokueleweka bora yule mwingine anajiita Kiranga ambaye huwa anaandika kiingereza cjui cha kilatino kile.
 
Last edited by a moderator:
haha...sidhani kama kuna tangazo baya kama lile la LAPF, eti joni anafanya kazi nyingi..basi kaenda kukopa halafu kapiga kitabu..kamaliza akapata kazi nzuri zaidi...akawa hafanyi kazi nyingi tena/kawa bosi...akanunua VX, kwaiyo tuende kujiunga na LAPF

HA HA HA HA HA HA HA HA HA
 
Kuna kingereza cha kilatino? Hata device yako ukiangalia English ni UK na US tu.
 
Last edited by a moderator:
haha...sidhani kama kuna tangazo baya kama lile la LAPF, eti joni anafanya kazi nyingi..basi kaenda kukopa halafu kapiga kitabu..kamaliza akapata kazi nzuri zaidi...akawa hafanyi kazi nyingi tena/kawa bosi...akanunua VX, kwaiyo tuende kujiunga na LAPF

HA HA HA HA HA HA HA HA HA

Ni hapo utakapokopa alafu usipate kazi sijui unaurudisha vipi mkopo.......lolest
 
Mi tangazo ambalo huwa silielewi ni lile la king'amuzi cha continental maana yule shemeji aliyevaa tshirt ya blue wakati anamkaribisha huyo shemeji jirani yake huwa najiuliza mbona anamuangalia vil? lile tangazo pale lilitaka kumaanisha nini, na hata mume mtu anapokuja na kuwakuta bado huyo shemeji blue anakuwa kama anajishuku vile, sasa sielewi ujumbe wa tangazo ni king'amuzi cha continental au ni kuwa usipokuwa nacho basi mkeo anaweza kufanyiwa vile akienda kwa shemeji kuangalia TV?
 
Wahuni hawa wanatuambia "whatsapp na fb bure" baada ya kujiunga na vifurushi as if sote tumetoka matombo leo - kwanini isiwe bure kabla ya kujiunga au kuongeza salio

Kaka tutake radhi wa Matombo aisee

Jaaaaah sie siyo wakudanganyika hivihivi bwana
 
Mi tangazo ambalo huwa silielewi ni lile la king'amuzi cha continental maana yule shemeji aliyevaa tshirt ya blue wakati anamkaribisha huyo shemeji jirani yake huwa najiuliza mbona anamuangalia vil? lile tangazo pale lilitaka kumaanisha nini, na hata mume mtu anapokuja na kuwakuta bado huyo shemeji blue anakuwa kama anajishuku vile, sasa sielewi ujumbe wa tangazo ni king'amuzi cha continental au ni kuwa usipokuwa nacho basi mkeo anaweza kufanyiwa vile akienda kwa shemeji kuangalia TV?

Tehe tehe tehe tehe..........
 
Wameongeza gharama za OMG, hata hawafai tena!!! Ukikopa airtime jiandae kulipa bila kutumia hata senti ya pesa uliyokopa, its so frustrating!!! Unanunua OMG bundle ya 2.5GB kwa mfano, ndani ya siku mbili hamna kitu wakati natumia vitu basic ambavyo havihitaji MB nyingi, siangalii video wala nini...! Internet yao inakuwa slow kila kukicha...BS kabisa!!
 
Pole jaribu na huduma za mitandao mingine
 
Tangazo ni zuri mno sema kinachotangazwa sasa ndo majanga! Natimiza nini na mkopo wa Tshs. 1000?
 
Back
Top Bottom