Haliko realistic, wame exaggirate sana kimkopo cha elf 30 huwezi kuganya mambo makubwa kiasi hicho
matapeli hao.
MaTaPeliWamAmBoLeO hao juzinimemnunulia mamaMKwE yangu simuyakutumia kule kijijiniwakanichezea kadroo kao nkapata ushindiwa punguzo la asilimia nyingi za mudawa maongezi mpaka leo mama mkwe kule kijini anasEmA hAjapaTa ilo punguzo.
Haya ni madhara ya shule za Kata..! Uandishi gani huu?
Haya ni madhara ya shule za Kata..! Uandishi gani huu?
Haya ni madhara ya shule za Kata..! Uandishi gani huu?