Jamaa ni msimuliaji mzuri sana wa visa/mkasa humu jukwaani. Ukiwa unasoma andiko lake pamoja na content anayozungumza lakini mpangilio pia huwa uko vizuri sana. Big Up Deep Pond

Uandishi ni kipaji na kipawa pia.. Tusipompa credit zake sasa hivi tutampa lini DeepPond Hongera sana brother siku ukipitaMsata karibu sana kilingeni tutete kidogo na kupata supu ya kuku wa kienyeji faida ya mganga
Nachomkubali mwamba hana habari za kesho wala keshokutwa na kwa wiki anaweza kuwatwangia masimulizi hata mawili yaliyoshiba sijui visa anatoa wapi jamaa