Big up Ally's star bus

Big up Ally's star bus

Automatic huku kwetu n shida sijui, alikua nazo Dar Lux zimekufa kama kuku mwenye kideri

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
Tech imebadilika sana mkuu , auto ndo habari ya mjini , auto ipo very efficient kuanzia kutunza engine Hadi brake pads , pia ni comfortable sana maana Zina shift smoothly,
Kilimanjaro basi zake nyingi ni auto, tahmeed naye anazo pia
Classic ana Man bus full air ride , auto , unasafiri kutoka dar unafika mbeya mwili haujachoka

Dar lux ni mtu ambaye hana taarifa anunue kitu gani, zile auto alizonunua ni tech Kama ya gari ndogo, (torque converter) ni sawa kabisa na automatic za mabasi ya mwendokasi , huwezi kutumia tech ile kwa gari kubwa kwa mwendo mrefu , auto ninazozungumzia ni opticruise (scania) I shift (Volvo) tipmatic(Man) Traxon (Daf)
 
Hapo nimekupata

Lakn boss, vipi dereva kusinzia? Nilipanda scania ya Bhanji , ni auto, nilimwangalia yule dereva nikajikuta namuuliza hujawah sinzia barabaran? Manake mda anao jigusa n wakat gari inashuka mlima tu , stop engine iko chini kwenye Capet , muda mwingine wote ametulia tu , hutopitiwa usingizi? Gia inachangamsha sometimes
 
Kwenye auto kusinzia ni rahisi sana , Mana hakuna kitu unafanya kuchangamsha mwili , ila kwa urahisi ule mtu anaweza akaendeaha kipande kirefu sana bila kuchoka kila kitu kinafanywa na computer , fikiria umaanza safari na foleni la sokota buguruni gari ina tani 30 , halafu upange na kupangua manually gia 12 ! Hadi unaimaliza mlandizi upo hoi , lakini auto ... Kama unanawa na Jf unaperuzi.
 
Nikimsikiliza mpambe kwenye hiyo video nacheka kimya kimya , kwa kweli watanzania bado hatujuwa kupanda mabasi luxury
Hiyo Basi ni full steel suspension ,manual gearbox ,halafu ndo inapigiwa promo la kutosha
Sio mpambe,,hiyo inaitwa marketing,,sema mtu mwenyewe analack maneno ya kupambia,ndo maana anarejea rejea neno hilo hilo mara nyingi,,hebu mwenye namva ya Amran anipe hapa nimuelekeze vile profesheno hufanya marketing...
 
Naweza kusema kwa sasa, route ya Dar-Mwanza Ally's wamedhamiria kuibinafsisha. Hizi sasa ni sifa🙌🙌.
Sioni kampuni yakuitishia ally's kwa sasa( kwa mbali labda Tanzanite na Happynation)
All in all kongole kwao... Hii ndo maana halisi "kimya kirefu kina mshindo mkuu"

View attachment 1659092

View attachment 1659094

View attachment 1659095

View attachment 1659097

View attachment 1659098
Ally's mmeamua kujifagilia?

Ama kweli raha jipe mwenyewe ukimsubiria mtu kukupa raha unaweza kusubiri sana.
 
Allys mwendo mdundo
FB_IMG_1608918691186.jpg
FB_IMG_1608584032612.jpg
 
Hawa allys wana speed kubwa sana..na sijui huwa wanawahonga askari au vipi,maana pamoja na maspeed yao huwa hawapigwi tochi kabisa.. mwezi uliopita wamegongana na kisesa pale Dumila kisa wanafukuzana.
 
Naweza kusema kwa sasa, route ya Dar-Mwanza Ally's wamedhamiria kuibinafsisha. Hizi sasa ni sifa[emoji119][emoji119].
Sioni kampuni yakuitishia ally's kwa sasa( kwa mbali labda Tanzanite na Happynation)
All in all kongole kwao... Hii ndo maana halisi "kimya kirefu kina mshindo mkuu"

View attachment 1659092

View attachment 1659094

View attachment 1659095

View attachment 1659097

View attachment 1659098

View attachment 1659100

Heshima kwa mkoa wa Shinyanga Hawa Allys star wameanzia mbali sna mtu ambae aliona mabasi yao mwanzo na kwa sasa ni hatua waliyoipiga ni kubwa katika sekta hii nawaona watadominate route zote njiani kuanzia Dar -Mwanza
 
Ally’s Star kwenye time management wapo vizuri sana, waboreshe boreshe mambo mengine kama online booking kuepuka usumbufu na kusave muda. Upande wa customer care pia hawako vizuri sana, kuna siku binti mmoja wa kiarabu pale, mtoto wa Boss ofisi ya Dar, (My classmate , O’level) hakutoa huduma aliyostahili kupatiwa mteja wake. Alianza na wafanyakazi wa pale akamalizia kwa mteja.

Sema wako vizuri, waongeze kasi ya huduma bora zaidi.
 
Muda huu saa 1 jioni ndio wanaingiza gari Morogoro kutoka mwanza.. zote zimefuatana... Wanatembea speed gani hawa jamaa..??
 
Mchina bwana interior anajua sana kuremba gari..ila hana uimara..na ndio maana baadhi wanavua gear box na kupachika ya scania..but all in all tumpe sif zake.
 
Enzi za Ally's sport alikuepo dereva anaitwa "Kinyaunyau" bado yupo? Yule mshenzi alikua ni shida asee. Alitufaulisha kutoka Dumila SAA saba mchana SAA nne na nusu akawa anaingia Nyegezi
Hiyo tulikuwa wote mkuu,sikuamini kabisa hiyo siku, shinyanga to Mwanza haikuzidi za saa moja na nusu

Manyaunyau kiboko aisee
 
Muda huu saa 1 jioni ndio wanaingiza gari Morogoro kutoka mwanza.. zote zimefuatana... Wanatembea speed gani hawa jamaa..??
Sasa hivi kuna Zuberi zinamtesa sana Ally's,jana nimeingia nayo saa tatu na nusu nashuka Mbezi mwisho
 
Hiyo tulikuwa wote mkuu,sikuamini kabisa hiyo siku, shinyanga to Mwanza haikuzidi za saa moja na nusu

Manyaunyau kiboko aisee
Na yule konda alimpa sana promo huyo dereva wake, na kweli jamaa alivyofika watu wakajua manyaunyau sijui kinyaunyau kafika. Ile ilikua ni balaa asee
 
Back
Top Bottom