Mh
Ngoja waje wenyewe
Our destin territory ni kupigana miti ktk hili .
Hivyo vya mimba then kids majaaliwa!
hahahaaa shem umenifurahisha ujue, so mwatiana miti kwa kwenda mbele lol!
Tia neno!
Acha uchoyo wa kauli !
Kama maneno tu mchoyo! Je? Ukiwa na andazi mkononi tutakusogelea ?
Nautambua uwepo wako Shemeji !
Habari ndy hizo! Para , mimba na mtoto kila kimoja ni muamala ujitegemeao!
ata mi naona shem, utamu kwanza mtoto majaaliwa lol!
dada hujambo?
Wana Chit chat heshima kwenu,
Naomba nitambue uwepo wa Mwenyekiti wa jukwa na wanachama wote,
Cha mnoo leo ndugu zangu ni kuwaomba tuiunge mkono serikali yetu katika mpango wa MATOKEO MAKUBWA SASA,
sisi kama wanachit chat tujikite zaidi katika ngazi ya familia, kama maandiko yanavyoagiza "Enendeni mkaijaze Dunia".
Niwaombe wakina baba wote mjitahidi kuwapa mimba
wanawake wengi kadri muwezavyo ili upate matokeo makubwa sasa na wakina mama mtuunge mkono kwa kutoa ushirikiano wa kutosha.
Binafsi nimeshaanza mwakani nnategemea kuwa na watoto watatu... makofi tafadhali
asanteni kwa kunisikiliza.
Nawapenda vijana wenye mawazo endelevu kama wewe.... Na mimi mwenyekiti natangaza rasmi wiki hii kuanza kufungisha ndoa za mafungu ili kuunga mkono juhudi za kuleta matokeo makubwa sasa....
sijambo kaka, mzima weye?
Nawapenda vijana wenye mawazo endelevu kama wewe.... Na mimi mwenyekiti natangaza rasmi wiki hii kuanza kufungisha ndoa za mafungu ili kuunga mkono juhudi za kuleta matokeo makubwa sasa....