masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,555
- 20,086
Ana kichwa chepesi ...pombe haiwezi..Beauty hakuwa na malengo inaonekana wazi kabisa. Yani aliingia kutafuta mapeni na umaarufu wa kijinga. Yeye kila siku kugombana tu. Sasa eti anagombana kisa hataki bwana ake aoshe vyombo?
Wanaweza shinda. Maana wako creative sana. Ila wakishindwa itakuwa pigo kwao maana watapungua tena. Ila Phyna kutoka ni ngumu. Mpaka sasa ndio mtu naeona anaenda kushinda.Kina phyna wasiposhinda Hoh week hii itakua balaaa.
Watatolewa wengi sana
Au nahisi big anaweza badilisha game...
..
Dah napata muda mchache sana kuwatch ila nachek kupitia twita...
Brayan kaanzisha ship na modella??
Kabisaa.Wanaweza shinda. Maana wako creative sana. Ila wakishindwa itakuwa pigo kwao maana watapungua tena. Ila Phyna kutoka ni ngumu. Mpaka sasa ndio mtu naeona anaenda kushinda.
Yule ndio alinifanya nimpende Ilebaye maana Ilebaye alikuwa mtulivu sana japo wengi wanaona kama vile Ilebaye alikuwa anam-provoke.Ana kichwa chepesi ...pombe haiwezi..
Na alitaka grovy awe mshika mkoba wake
Ana serious emotional issues kwa kuwa ex miss nigeria. Hakuendana kabisa na Groovy. So kitendo na Groovy kum beep chomzy ni kama kuonesha chomzy ni better than beauty!! Hii ndio iliamsha maruani yote ya beautyBeauty hakuwa na malengo inaonekana wazi kabisa. Yani aliingia kutafuta mapeni na umaarufu wa kijinga. Yeye kila siku kugombana tu. Sasa eti anagombana kisa hataki bwana ake aoshe vyombo?
Yule jamaa anawabeba sana Level 1Kuna sk Chomzy alimwita Zombie. Ni kama hamnazo ila entertaining
Bella ana fanbase kubwa...Nahisi kama Bella ana fan base kubwa ingawa simpendi
Yeah Phyna ana mashabiki wengi sana.Phyna anapata kura nyingi sana mkuu na anakuwa nominated kila week ila huyo ni kwere hawezi toka. Ukisoma comments za fans twitter na kwingineko utagundua huyo manzi ana mashabiki kinoma
Sure. Yule nahisi hakuwa na malengo maana kama angekuwa na malengo angekuwa mpole tuAna serious emotional issues kwa kuwa ex miss nigeria. Hakuendana kabisa na Groovy. So kitendo na Groovy kum beep chomzy ni kama kuonesha chomzy ni better than beauty!! Hii ndio iliamsha maruani yote ya beauty
Amaka ni kama vile anataka kufanya move ya kimkakati kwa groovy. Tuone kwenye party itakuwaje shomzy nae akiwepoIjumaa hii nataka nione groovy na chomzy kama watakiwasha
Hivi tangu beauty atoke groovy hajamake a movie kwa msichana yoyote?
Nahisi anahofia mashabiki wa beuty hawatampigia kura..
By the way umeona hashtag ya bring back beauty?
Sheggz atamwangusha huyo manzi. Wana attitude sana hao yani wanaringa na kila mahali wapo wote kama kumbikumbi. Uziri wa Phyna ni mtu wakujichanganya hana makuu na ana amsha amsha mbaya hata level 1 wote wanamuogopa.Bella ana fanbase kubwa...
Ila nataka akutane na phyna.
Kwenye kura
Bella ana fanbase kubwa...Nahisi kama Bella ana fan base kubwa ingawa simpendi
Ila yule dada ana tatizo..Ana serious emotional issues kwa kuwa ex miss nigeria. Hakuendana kabisa na Groovy. So kitendo na Groovy kum beep chomzy ni kama kuonesha chomzy ni better than beauty!! Hii ndio iliamsha maruani yote ya beauty
Usimwamini Amaka maana yule ni kama ana fake ships sana ila haitokei. Amaka haeleweki. Jana alikuwa anampiga biti Ilebaye kuhusu Groovy ila ile ya kiutani utaniAmaka ni kama vile anataka kufanya move ya kimkakati kwa groovy. Tuone kwenye party itakuwaje shomzy nae akiwepo
Yaa bella angekua hana ship angeshine zaidSheggz atamwangusha huyo manzi. Wana attitude sana hao yani wanaringa na kila mahali wapo wote kama kumbikumbi. Uziri wa Phyna ni mtu wakujichanganya hana makuu na ana amsha amsha mbaya hata level 1 wote wanamuogopa.
Alikuwa anamtaka sheggz matawi ya juu. Kwenye sat paty ya mwanzo alikuwa akijipeleka kwa sheggz. Ila naona sheggz aliona atachanganya madawa cause survival yake kimkakati ipo kwa bella. Hii vile vile ni sababu nyingine ya kuchanganyikiwa kwq beautySure. Yule nahisi hakuwa na malengo maana kama angekuwa na malengo angekuwa mpole tu
Unejuaje wanandinyana...na wewe huwa unaangalia sio?Wakishua bhaaana, kwa iyo mpo serious na mmelipia kabisa kuangalia wenzenu wakidinyana, mwanaume kabisa
Hivi phyna bado yupo na distance shipping la eloswag?. Sat nite party ya last week ilinipitaBella ana fanbase kubwa...
Ila nataka akutane na phyna.
Kwenye
Ila yule dada ana tatizo..
Ni wale watu wasiojua kuwalk away...
Ni wale watu wanao prefer violence zaidi kwenye kitatua tatizo..
Na pia kama ulivyosema alishajijua ni mzuri kuliko yoyote hakuamini groovy anaweza mpenda mtu mwingine pale.
Kanipa funzo aiisee
Always ...tumia akili,utulivu kwenye kutatua matatizo.
Amepoteza such a good chance kwa maisha yake
Can you imagine being at such situation soo sad.Alikuwa anamtaka sheggz matawi ya juu. Kwenye sat paty ya mwanzo alikuwa akijipeleka kwa sheggz. Ila naona sheggz aliona atachanganya madawa cause survival yake kimkakati ipo kwa bella. Hii vile vile ni sababu nyingine ya kuchanganyikiwa kwq beauty
Eloswag alimwambia ampe muda...Hivi phyna bado yupo na distance shipping la eloswag?. Sat nite party ya last week ilinipita
Ila eloswag nae ni hot contender. Kwenye top five hutamkosa