dah,paka hapo sijavutiwa na hata mmoja,ebu ngoja nisubiri wengine...
south africa ni model wakuu,so ile fununu ya jokate yaweza kuwa kweli au? au yupo kitaa bongo????
dah! kama ni yeye basi tuna mwakilishi mkuu...anaweza akabana asiwe kama bhoke...hapatikani kwenye cm may b yeye anawakilisha kweli