ossy JF-Expert Member Joined Apr 7, 2011 Posts 872 Reaction score 143 May 6, 2012 #21 zambia movie star,,,,....
Dark City JF-Expert Member Joined Oct 18, 2008 Posts 16,252 Reaction score 11,649 May 6, 2012 #22 Mzimbabwe ni Sharo fulani hivi...anaitwa Rocky
ossy JF-Expert Member Joined Apr 7, 2011 Posts 872 Reaction score 143 May 6, 2012 #23 dah,mwaka huu almost wote ni mcharuko wakuu,cjui hata itakuwaje...
M mhondo JF-Expert Member Joined Apr 23, 2011 Posts 968 Reaction score 359 May 6, 2012 #24 Nchimbi si alisema Serikali haiiungi mkono kwa ajili inaenda kinyume na maadili ya kitanzania baada ya vituko vya Bhoke?. Au TZ inawakilishwa bila ridhaa ya Serikali?.
Nchimbi si alisema Serikali haiiungi mkono kwa ajili inaenda kinyume na maadili ya kitanzania baada ya vituko vya Bhoke?. Au TZ inawakilishwa bila ridhaa ya Serikali?.
kichwat JF-Expert Member Joined Mar 4, 2010 Posts 1,819 Reaction score 592 May 6, 2012 #25 naona kete ya Zimbabwe itakuwa utata, ngoja tuone.
Dark City JF-Expert Member Joined Oct 18, 2008 Posts 16,252 Reaction score 11,649 May 6, 2012 #26 Superstars wa BBA 2012 ni DKB (Ghana), Lady May (Namibia) na Prezzo (Kenya)
Suzie JF-Expert Member Joined May 7, 2010 Posts 1,267 Reaction score 422 May 6, 2012 #27 Mnaocheki tupeni updates basi tz nani kaingia
Bejajunior Senior Member Joined Sep 19, 2011 Posts 193 Reaction score 49 May 6, 2012 #28 Kwa ujumla the house looks good....
Dark City JF-Expert Member Joined Oct 18, 2008 Posts 16,252 Reaction score 11,649 May 6, 2012 #29 ossy said: dah,mwaka huu almost wote ni mcharuko wakuu,cjui hata itakuwaje... Click to expand... Ni mbwembwe tu, hakuna kitu hapo. Subiri baada ya wk moja akianza kuonja joto la jiwe ndipo utakapojua wale ambao ni wagumu!!
ossy said: dah,mwaka huu almost wote ni mcharuko wakuu,cjui hata itakuwaje... Click to expand... Ni mbwembwe tu, hakuna kitu hapo. Subiri baada ya wk moja akianza kuonja joto la jiwe ndipo utakapojua wale ambao ni wagumu!!
Belight Technology JF-Expert Member Joined Mar 13, 2012 Posts 583 Reaction score 129 May 6, 2012 #30 jockate jamani ataenda kufanya nin?
Belight Technology JF-Expert Member Joined Mar 13, 2012 Posts 583 Reaction score 129 May 6, 2012 #32 Kwanin watanzania hamumjui mwakilishi wenu BBA?
ossy JF-Expert Member Joined Apr 7, 2011 Posts 872 Reaction score 143 May 6, 2012 #33 Dark City said: Ni mbwembwe tu, hakuna kitu hapo. Subiri baada ya wk moja akianza kuonja joto la jiwe ndipo utakapojua wale ambao ni wagumu!! Click to expand... dah,paka hapo sijavutiwa na hata mmoja,ebu ngoja nisubiri wengine...
Dark City said: Ni mbwembwe tu, hakuna kitu hapo. Subiri baada ya wk moja akianza kuonja joto la jiwe ndipo utakapojua wale ambao ni wagumu!! Click to expand... dah,paka hapo sijavutiwa na hata mmoja,ebu ngoja nisubiri wengine...
Belight Technology JF-Expert Member Joined Mar 13, 2012 Posts 583 Reaction score 129 May 6, 2012 #34 Suzie said: Mnaocheki tupeni updates basi tz nani kaingia Click to expand... ungesema mapema ningekupeleka wewe coz unafaa
Suzie said: Mnaocheki tupeni updates basi tz nani kaingia Click to expand... ungesema mapema ningekupeleka wewe coz unafaa
n00b JF-Expert Member Joined Apr 10, 2008 Posts 1,013 Reaction score 2,684 May 6, 2012 #35 Time for couples! From Angola.....
Dark City JF-Expert Member Joined Oct 18, 2008 Posts 16,252 Reaction score 11,649 May 6, 2012 #36 Angolan couple ndo inaingia
ossy JF-Expert Member Joined Apr 7, 2011 Posts 872 Reaction score 143 May 6, 2012 #37 Suzie said: TZ badooooo Click to expand... bongo bado,angola kaingia na manzi wake,.....
Belight Technology JF-Expert Member Joined Mar 13, 2012 Posts 583 Reaction score 129 May 6, 2012 #38 mwakilishi wa Tanzania ni .....! loading... Please wait.....!!!!
M Moony JF-Expert Member Joined Apr 16, 2011 Posts 1,599 Reaction score 436 May 6, 2012 #39 Is the show really productive? What do the audience gain from this silliness?
ossy JF-Expert Member Joined Apr 7, 2011 Posts 872 Reaction score 143 May 6, 2012 #40 jamaa muuza sura balaa.wanavutia kwakweli...their nut lovers....