Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,234
- 26,754
Wanaotaka kuona video za hawa washiriki wakikoga na mengine meengi! Nina page Insta ..tembelea ujionee,, @ bbahotshots_exclusive
haaaa lol hatari BBA VIP tunakosa mengi...., watu na mitarimbo yao Bora Idrisa anajificha na mabukta yake
hahaha shost.umemuina JJ alivyojiachia na mguu wa mtoto ule.kumbe watu wafupi wamejaliwa.
haaaa lol hatari BBA VIP tunakosa mengi...., watu na mitarimbo yao Bora Idrisa anajificha na mabukta yake
Hehehe yani zipo kibao zaidi ya zile , sema tu ndo vile nakuaga busy sina muda wa kutupia
Chikmaget,naomba uwe unantupiaga kwenye namba hii 0712 154 330 pls.
Huyu jamaa wa msumbiji mjomba nchumari kila nikimuona anatafuna
Jamani mpigieni kura idris piga waambie na wengine jahazi linazama
leo ndo kitanuka pale mjengoni... mi nishapiga kura "we chat" vya kutosha
Jamani mpigieni kura idris piga waambie na wengine jahazi linazama
Mie nimemaliza zote Wechat nasubiri baadae sijui itakuwaje
Hamasisha wadai chombo huru cha kusimamia uchaguzi huru na haki ndo maana % yao wanaona ujinga kujaza maji kwenyE pipa linalovujishaKwenye uchaguzi hampigi kura, kwenye ushetani ndio mnahasisha kupiga kura.
Mie nimemaliza zote Wechat nasubiri baadae sijui itakuwaje