idris anautumia vizuri udhaifu wa laveda
Yani master apige yeye..lawama wapewe US...jamani wabongo hatushindwi kituu...
Samantha anaijua nguvu ya Idris na anavyoweza kuicheza game yake, so kila mahali anataka awe naye, hasa kwa kumliwaza.
Anajua akiachia nafasi Ella anaweza kucheza game kwa Idris kama ambavyo huwa akifanya mara kwa mara.
Ova
Huyu laveda ni malaya tu yani kaniboa mpaka basi.Ana hata heshima jamani hivi hafikirii wazazi wake watamuonaje?Yani mie nimeona aibu kama ndio mie laveda.Na ningekuwa boyfriend wa laveda ningemuacha maana inaonekana jamaa akitoka kidogo tu watu wanajilia mzigo kiurahisi kabisa.Na wanaume wa BBA jamani hata kumsitiri???Sijui ndo havutii au ndio tuseme wanajiheshimu???By the way kesho nataka atoke
Yeah ni kweli! Video ninayo .... Anaetaka aseme nimtumiie
Yeah ni kweli! Video ninayo .... Anaetaka aseme nimtumiie
Hebu itume basi
Na jinsi mchezo ulivyo wa kishetani, hiyo inaweza kuwa gia kwa LAVEDA kupanda umaarufu wake kwa followers wake!hatahivyo mchezo mzima wa bba lengo lao ni kutaka au kushawishi kila mtu afanye uchizi wake mbele ya watu kwa ajili ya wao bba wapate pesa, haiwezekani ukaweka wasichana na wavulana wanalala chumba kimoja , pombe za bure, wanaoga pamoja unategemea nini kitatokea basi mwisho wa siku ukimlaumu laveda basi bba nao walaumiwe kwa kuwashawishi vijana wa kiafrika kuiga utamaduni wa wazungu kwa lengo la kujipatia ela.
Idris nae ameishiwa mbinu za mchezo anamtongoza kila wakati binti wa ki botswana , binti anasema anataka wakubwa hataki watoto kama idris, lakini bado idris anamng'ang'ania kama vile ametumwa kwenda kutongoza na sio kushinda ela vilevile anautani kwa wenzake kila wakati wa kupitiliza hajatulia hajui muda gani wa kutania na muda gani wa kutulia,mwisho wa siku binti ameshampuuza
Yeah ni kweli! Video ninayo .... Anaetaka aseme nimtumiie
Yani master apige yeye..lawama wapewe US...jamani wabongo hatushindwi kituu...
mmeshafungua chuo?