Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,297
Si watrust wa Rwanda kabisa hata Ug hawashindwi hata kumpigia Idris siku nyingine wale.. ila dah sina amani Nhlanhla keshakuwa Hoh anaweza muweka Idris yuleee
Angekuwa mjanja angechagua winning team ndio amuweke kwenye nomination
Uzuri head of house kamweka Mark two kwenye eviction Samantha na Idris wako safe this week nimependa choice la head of house
Uzuri head of house kamweka Mark two kwenye eviction Samantha na Idris wako safe this week nimependa choice la head of house
Simpendi kabisa huyo Mark Two. Ni nani na nani wako kwenye eviction wiki hii?
Ova
Uzuri head of house kamweka Mark two kwenye eviction Samantha na Idris wako safe this week nimependa choice la head of house
Kwani pesa ina dini mkuu aloycious?
naona mvumilivu hula mbivu idriss alikuwa anaenjoy massage kutoka kwa mrembo goitse...good strategy idriss acting like u dont care anymore now anakuja kwenye penalty box
slice that cake
List hii hapa Mkuu..!
Alusa
Ellah
JJ
Laveda
M'am Bea
Macky2
Permithias
alipewaga promise ya massage kitambo na huyo dem
How to vote.... me nafatiliaga hapa siangalii on tv...
Leo ndio siku Laveda anatuaibisha aisee.. mmh
na kanguo kake. anajalibu kucover nafas ya twerk gal lilian
Yaani leo aibu tupu. Ws voting for her lkn from leo nimpigii kura tena