Big Brother Africa 2009: The Revolution

Nominations za leo:

Edward: Itai & Emma
Emma: Eddie & Mzamo
Itai: Nkenna & Mzamo
Kevin: Mzamo & Edward
Mzamo: Itai & Emma
Nkenna: Emma & Itai

Preliminary Results:

Itai - 3
Emma - 3
Mzamo - 3
Eddie - 2
Nkenna - 1

Kama kawaida, Itai amekiuka makubaliano ya alliance yake. Alliance ya Eddie kama kawaida yao, naona wameendelea kuwa imara na mshikamano wao mpaka dakika ya mwisho. Idea ya kum-nominate Eddie nadhani waliishitukia kwamba ingeweza ku-backfire kwa kuwapandisha Mzamo na Eddie na ikawa kasheshe namna ya kuokoa.

Iwapo Itai angeenda sawa na makubaliano ya alliance yake basi wiki hii tungekuwa na clear 4 housemates up for eviction. Lakini sasa hatujui Bi Mkubwa Sarah (Big Brother) ataamua kutupatia watatu ama wanne?

Kazi kwa Eddie, lakini naona swap iko wazi, wala haina mjadala kwamba Kelvin atapandishwa na Mzamo atashushwa, in case watatu wako up. Ila kama ni 4 hapo ndio sijui, Je, Eddie atajiokoa na kumwacha little sisy wake? Ama atamuokoa little sisy wake na kujiacha mwenyewe kwenye kikaango?
 
yeah...........Itai bwana kujifanya smart kutamcost!!!Eddie obviously atamreplace Mzamo wala sio Emma kama alivyopromise!!!!Yaani Itai asali Eddie amuweke Nkenna vinginevyo mambo magumu hapa....i hope only one person is leaving i'd really like to see Emma in the finals.....
 
kwa kweli Kelvin atashinda tu hili taji kila dalili zinaonekana toka wiki iliyopita hayupo kwenye nomination yoyote
 
Itai - 3
Emma - 3
Mzamo - 3
Eddie - 2
Nkenna - 1

Sara atapandisha mtu 3, Eddie atam-save Mzamo na kumweka Kevin. Hiki ndo nilichokuwa ninakiogopa kidogo kwani Kevin atagawana kura na Emma. Hata hivyo sidhani kama hiyo itampatia unafuu Itai. Tukumbuke kuwa watakao kuwa up for eviction wote wanatoka alliance moja.

Endapo Itai ataondoka, Eddie atakuwa amejiongezea kura moja ya Zimbabwe na Kevin atagawana kura na Nkenna pia atakosa kura ya Angola na Kenya.

Ikitokea Emma akaondoka (strategically uwezekano ni mkubwa), Kevin atajipatia kura za Nigeria, Ghana, Tanzania, Angola, Kenya, Zambia na RoA? kura hizo 7 zitakuwa zimempatia ushindi wa 200k.
 
Eliza katoka? mbona mnaongelea wakina Kelvin utafikiri sisi wanaijeria, what is up? wengine hatufuatilie bana, tunaona miyeyyusho tu
 
Eliza katoka? mbona mnaongelea wakina Kelvin utafikiri sisi wanaijeria, what is up? wengine hatufuatilie bana, tunaona miyeyyusho tu

icon13.gif
icon9.gif
icon8.gif
icon5.gif
icon4.gif
icon2.gif
icon2.gif
icon2.gif
icon6.gif
 
Sara atapandisha mtu 3, Eddie atam-save Mzamo na kumweka Kevin. Hiki ndo nilichokuwa ninakiogopa kidogo kwani Kevin atagawana kura na Emma. Hata hivyo sidhani kama hiyo itampatia unafuu Itai. Tukumbuke kuwa watakao kuwa up for eviction wote wanatoka alliance moja.

Mkuu Nemesis,

Kijana Eddie kafanya kama ulivyokuwa unaogopa. Walio up wiki hii ni members wote wa alliance fake ya Emma, Kelvin na Itai. Lakini pamoja na hayo ninaona Kelvin na Emma bado wako safe. Itai anaweza kupata kura ya Zimbabwe tu. Kelvin atapata kura za kwao (West na RoA). Kambi ya mashabiki wa Eddie watampa Emma kura ili watimize malengo yao.

Hii alliance ilipoteza mwelekeo tangu walipompoteza Jeremy na Eliza, na wakawa wana-nominate kila mmoja kivyake na wakaishia kuwa up kila wiki.

Emma atakuwa ameshikilia rekodi ya kuwa up for eviction mara nyingi kama ilivyokuwa kwa Richard na Ricco kwenye intake zako. Cha kusikitisha ni kwamba Emma hawezi kushinda pamoja na kuponyoka mara kibao. Yeye tangu walipoanza kushambuliwa amekuwa up almost kila wiki.

Eddie anaonekana kusoma game vizuri. Niliona diary session yake alikuwa anasema kwamba lazima am-save Emma ili aingie nae kwenye finals kwa ajili ya SADC thing. Lakini lengo la kijana ni kutaka kugawa kura za alliance ya Kelvin/Emma.

Viewers wengi wanamlaumu Emma kwamba she was a fool maana angeweza kupona kwenye hii nomination ya leo iwapo asingeshiriki kuwa-nominate Mzamo na Eddie na hivyo Eddie angeweza kum-save na kumuweka Kelvin na Itai.

Mpaka hapo naona Itai ni wiki yake ya mwisho, SADC hawana mchezo kabisa.
 
yeah...........Itai bwana kujifanya smart kutamcost!!!Eddie obviously atamreplace Mzamo wala sio Emma kama alivyopromise!!!!Yaani Itai asali Eddie amuweke Nkenna vinginevyo mambo magumu hapa....i hope only one person is leaving i'd really like to see Emma in the finals.....

Kweli hata kama Eddie angemuweka Nkenna, na ikawa Itai vs Nkenna, bado zile nchi ambazo wanataka Eddie ashinde wangempa kura Nkenna ili aendelee kubaki, maana hana effect kwenye mgawanyo wa kura wa kura za Eddie. Itai akiondoka, automatically kura ya Zimbabwe inaenda kwa Eddie.

Emma ataingia Finals, maana naona huo ndo mwelekeo na anaingizwa huko kwa kazi maalumu ya kupunguza kura Kelvin.
 
ITAI OUT!

How Africa Voted:

Itai got least votes from 7 countries:
Angola
Ghana
Kenya
Nigeria
South Africa
Tanzania
ROA

Emma got least votes from 6 countries:
Botswana
Ethiopia
Mozambique
Uganda
Zambia
Zimbabwe

Kevin got least votes from 2 countries:
Namibia and Malawi

Kazi wiki ijayo, maana hii pattern ya kura wala haieleweki.
 
yeah! wiki hii ndo finale, line za kupiga kura tayari zipo wazi.

Kwaharakaharaka ninakiona kipute kigumu kati ya Kevin na Edward. Kevin ana kura zisizo na shaka kutoa Nigeria, Tanzania, Ghana na RoA. Pia anaweza kupata kura toka Mozambique na Zambia.

Edward anauhakika wa kura za Namibia, Zimbabwe, Uganda na Ethiopia. pia anaweza kupata kura za Zimbabwe na Sout Africa.

Emma atapata kura za Angola na Kenya, wakati Mzamo atapata moja ya Malawi. Nkenna hata pata kura kabisa. Hivyo hakuna mshindi hapo kwa idadi ya kura za nchi. Ila SA, Zimbabwe na Zambia huenda ndo watakao amua mshindi.

Endapo kura zitakuwa ni hizi za least votes, hapo ni ngumu kutabiri. Hata hivyo Kevin anaweza kuwa least popular katika nchi 2 tu (Malawi na Namibia. Wakati Edward atakuwa least popular katika nchi 5 (Nig, Tanz, Kenya, Ghana na Angola). Hivyo Kevin anaweza kushinda kirahisi. Hata hivyo njia hii inaweza kumpatia ushindi Nkenna. I sure Mzamo atakosa kura kabisa isipokuwa za Malawi pekee.
 
Duuh wakuu yani msisimko uliisha baada ya dada etu kutolewa!!! Leo ni finale wakuu any updates? Keil, mbogela,Nemesis,Triplets,Kelelee vp??
 
Bado inasubiriwa, ila nadhana Kevin ataibuka msindi, bado dk chache tu.
 
Kama utabiri ulivyokuwa Nkenna amekuwa wa kwnza kuondoka, bado wanne sasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom