Kichuguu, I agree with you. Despite of her early eviction from the game, she made us (Tanzania) walking tall.
She behaved.
Nadhani Itai anaweza kujiokoa na kumuweka Geraldine au Mzamo (alikuwa na beef na huyu mdada sijui kama ameshamsamehe). Lets wait n seeNominations za leo:
Itai: Emma & Geraldine
Emma: Nkenna & Mzamo
Edward: Emma & Itai
Geraldine: Itai & Emma
Nkenna: Itai & Emma
Kevin: Edward & Mzamo
Mzamo: Itai & Emma
Preliminary Results
Emma - 5
Itai - 4
Mzamo - 2
Nkenna - 1
Geraldine - 1
Edward - 1
Tusubiri maamuzi ya Itai, ambaye atajiokoa mwenyewe na sijui atampandisha nani hapo juu.
Kichuguu, I agree with you. Despite of her early eviction from the game, she made us (Tanzania) walking tall.
She behaved.
......very well said triplets!!!!! na hata hiyo ya kutokujiingiza kwenye mapenzi ni kwa vile tu Quinn hakumfuatilia sana(hehehe...si anapenda wazungu?) nadhani Quinn angefanya alivyokuwa anafanya Kevin....ahh.....angemmpata tuinategeme 'she behaved' unayoongelea ina maanisha nini? kwa kweli mimi kwa kiasi kikkubwa hakunifanya ni walk tall, kuna mara nyingi tu alipokuwa akiongea alinifanya nijione mdogo kuliko pilton kwa sababu ni mtanzania mwenzangu...mfano usiku alipompa maneno makali Itai, au siku alipokuja juu kwa sababu ya chips nk nk
mi nadhani good behaviour sio tu ku tokujiingiza kwenye mapenzi kiholela bali pia kuna mengineyo mfano ku ongea kwa adabu na heshima na watu wa rika zote, ku control bad feelings na emotions mbele za watu etc
inategeme 'she behaved' unayoongelea ina maanisha nini?
mi nadhani good behaviour sio tu ku tokujiingiza kwenye mapenzi kiholela bali pia kuna mengineyo mfano ku ongea kwa adabu na heshima na watu wa rika zote, ku control bad feelings na emotions mbele za watu etc
Nadhani Itai anaweza kujiokoa na kumuweka Geraldine au Mzamo (alikuwa na beef na huyu mdada sijui kama ameshamsamehe). Lets wait n see
Nkenna alipata kura chache kutoka: South Africa, Kenya na Tanzania.
Emma alipata kura chache toka: Rest of Africa, Mozambique, Nigeria na Ethiopia.
Eliza alipata kura chache toka: Namibia, Angola, Malawi, Zimbabwe, Zambia, Ghana, Uganda na Botswana.
Leonel got least votes from: Rest of Africa, Nigeria, Mozambique, South Africa, Tanzania, Kenya, Angola, Botswana, Ghana, Zambia, and Ethiopia.
Kelvin got least votes from: Malawi, Namibia, Zimbabwe, and Uganda
Alliance ya Emma imesambaratika kabisa na kila mmoja anatafuta kulipa kisasi wabaya wake. Emma na Kevin wangeweza kukubaliana wawa-nominate Eddie na Mzamo tatizo Emma naye anataka kulipa kisasi kwa Nkenna. Matokeo yake hawawezi kuwapeleka kwenye eviction list.
Bila shaka Itai anajiokoa mwenyewe na kumpachika Gerra, na Africa itamuokoa Emma kwa upenzi na strategy. Nchi zinazompenda Kevin zita mpigia kura Emma (maybe isipokuwa Naigeria). Tanzania licha ya kwamba Angola hawakumpigia kura Elizabeth bado nadhani tutampa kura yetu Emma.
Wale wa kambi ya Eddie (sadc camp) watampigia kura Emma ili aingie best 5 kuzigawa kura za Kevin. Sadc wameshatambua kuwa Kevin anamashabiki wengi, hivyo kilichobaki ni kuzigawa kura zake kwa kumuacha Emma na Nkenna. Next week ataondolewa Itai. Hivyo final itakuwa ngumu sana, kutokana na ukweli kwamba Kevin/Emma/Nkenna watagawana kura upande mwingine Edward/Mzamo watagawana kura pia. Tusubiri tuone.
Tatizo la Emma haskii, ndiye aliyemponza hata Eliza maana kama unakumbuka kipindi Nkenna alipokuwa HOH, Eliz alishauri wawekwe Wanigeria wawili Nkenna akiwemo ili awe na option ya kujiokoa tu na kushindwa ku-swap lakini kwa akili mbuzi za Emma na Jeremy wakakataa wakiogopa one of them kuwa-swapped matokeo yake ilitokea counter attack wakajikuta wote wawili wako on nomination! Na hapo ndio mwanzo wa kuanza kusambaratika group lao! Nathani haka ka-Emma huwa hakaskii kako so focused on revenge bila akili! Kama angewekwa m1 kati ya Jeremy na yeye kuna uwezekano mkubwa wa mmoja wapo kuweza kupona kwa vile wangeweza kuwa paired up with 2 Nigerians! Sikio la kufa halina dawa
I agree with you in part lakini nadhani watu wengi wa africa pia wanaweza kuwa fair na kuangalia issue ya entertainment....wengi wanamchukia Emma lakini wanasema bora abaki watamtoa wiki ijayo lakini Geraldine is too boring kubaki..yaani she is not adding any value to the show and it is unfair watu kama akina Kaone walitoka sababu ya comrade in arms yeye amebaki, which i completely support!She is truly BORING!!!! I think kadiri siku zinavyoenda na final zinavyoapproach people will stop the country thing and really vote according to how they feel about the housemates remaining. MAY THE BEST HOUSEMATE WIN IRRESPECTIVE OF WHERE HE/SHE COMES FROM...Voting Pattern ya Wiki Hii:
Namibia and Malawi will vote for Gerry strategically to protect Eddie/Mzamo alliance. Uganda will vote for Gerry kwa ajili kulipa kisasi kwa Emma/Kelvin.
Nigeria, Ghana and Rest of Africa will vote for Gerry kwa sababu ya uzawa na ukanda. Voters wengi wa Rest of Africa ni Nigerians, so watampa kura zao Gerry.
Botswana is likely to vote for Gerry, kwa sababu ya friendship between K1 and Gerry.
Angola, Tanzania, and Kenya will vote for Emma for obvious reasons.
Mozambique ni nchi ambayo haieleweki hata kidogo, ilimnyima kura Emma ikawapa Eliza na Nkenna, ikaja ikamnyima kura Leonel (mwakilishi wake), ikampa kura Kelvin. This time sijui watampa nani kati ya Gerry na Emma.
The rest of the countries zinaweza kumpa kura yeyote kati ya hao wawili na hapo ndipo ninaposema kwamba mchuano huu ni mgumu, lakini ukiungalia kwa juu juu unaweza kudhani ni ushindi wa chee kwa Emma, lakini Emma ana maadui wengi wa nje ambao alijitengenezea zama za Girl Power na Non-Smokers Alliance.
Tuangalie pattern ya kura kwenye evictions mbili zilizopita:
Emma vs Eliza vs Nkenna:
Leonel vs Kelvin:
Ukiangalia upigaji kura wa nchi za Uganda, Zimbabwe, Malawi na Namibia unafanana. Hizo ndio nchi ninazosema zinapiga kura strategically. Zimbabwe haieleweki kwanini iko kwenye pattern hiyo. Kwa nchi zilizobaki sababu ziko wazi, wana protect wawakilishi wao na wakati huo huo wanamkomoa Kelvin.
Sitarajii kuwe na deviation kubwa sana kutoka kwenye hizi nchi nne, japo Zimbabwe haieleweki vizuri.
Kwa kuangalia pattern hapo juu, utaona kwamba Gerry ana kura za uhakika 6 [Malawi, Namibia, Uganda, Nigeria, Rest of Africa & Ghana], so anahitaji support ya kura 2 tu. On the other hand, Emma ana uhakika wa kura 3 tu [Angola, Tanzania, & Kenya], na anahitaji support ya kura 5 ili aweze kubaki. Anatakiwa kufunga mdomo wake kabisa wiki hii yote na wala asiongelee kabisa habari za nominations za wiki ijayo. Hilo linaweza kumsaidia ili kurekebisha image, labda nchi zilizosalia zinaweza kuichukua Nigeria Factor kama mojawapo ya sababu za kumtosa Gerry.
Tatizo la Gerry ni ukimya, hana kasheshe nyingine za ajabu ajabu kama za Emma zama zile akipanga strategies za kumaliza alliance ya wavuta sigara. Sasa ni pay back time, na inaweza kum-cost na kujikuta anachanganyikiwa atakapoambiwa kwamba anatoka na kumwacha Gerry.
Kwa mtazamo wangu Gerry is far better kuliko hata Nkenna. Kama Nkenna aliwapelekesha puta wiki aliyotoka Eliza, basi Gerry anaweza kumfanya kitu mbaya pia. Kwa stage waliyofikia sasa ni kura kwa mwendo wa visasi na kulinda alliances za wawakilishi. Hayo yote yanampa advantage Gerry over Emma.
Nahisi nominations za kesho itakuwa ni Itai na Eddie. Eddie atajiokoa na kumweka either Emma au Kevin. Itakuwa ni mbaya sana endapo watakao pata majority votes watakuwa watatu. Let say Itai, Eddie na Emma. Eddie atajiokoa na kumwingiza Kevin. Hapo kutakuwa na shida kubwa kwa wapenzi wa Kevin na Emma. Ninataka Kevin aingie final, nadhani ni yeye tu mwenye uwezo wa kumnyima pesa Eddie.