Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,255
Nimefanya kautafiti kwa muda wa miezi mitatu iliyopita nimegundua wadada wanavaa sana T-shirt zilizoandikwa "Ball" nyuma na mbele. Bado cjajua kinachowavutia ila muda ndo utatupa majibu. Jana msichana mmoja mrembo alivaa imeandikwa Big BALL!!
Wanamaanisha nn wadada wetu?
Picha baadae!
Wanamaanisha nn wadada wetu?
Picha baadae!