Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 35,667
- 70,301
Huna jibu piga kimya weweHawajawahi kufanyana!
Huna jibu piga kimya weweHawajawahi kufanyana!
mwanaFA na AY wanaidai tigo zaidi ya 2bilioi tshs na alienda kwenye fiesta arusha kama mtu wa kawaida akazuiliwa kuingia bila sababu waandaaji ambao ni clouds na tigo wakakana mwanaFA akasema atawapeleka mahakamani cjui imeishia wapi but seems AY na FA hawako poa na clouds although bifu la ruge limeisha kinafiki nadhani izi mtu mbili Leo zimeamua kuwa kama jdee na wote wamempost something they never do before
tigo hela mtatoa na ruge apambane na machoz yake
Hata kama hoja yangu hukuielewa, ni sahihi kutumia lugha isiyo na staha!!? OK ubarikiwe mkuu.Hoja yako ni ipi hapa? Hueleweki na huna tofauti na Mwanamke ' Kahaba ' ambaye muda wote anahangaika hangaika tu kutafuta ' Mabwana ' wa Kumbandua.
HatariHiyo ni Wao tu ila Mimi ukishakosana / kukinukisha tu nami ' bifu ' langu nawe litaisha pale tu mmoja wetu atakapotangulia ardhini siku ya mwisho ya kuwepo rasmi hapa duniani / ulimwenguni.
Unyama Unyama tu / Jino kwa Jino / Kanyaga Twende / Mbele kwa Mbele.