Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,059
Sijaisikia lakini Drake asisubutu kuingia kwa huyo mwana ni balaa tupu hatomuweza na trap zake.Pia nasikia Kendrick na drake haziivi.
Sijaisikia lakini Drake asisubutu kuingia kwa huyo mwana ni balaa tupu hatomuweza na trap zake.Pia nasikia Kendrick na drake haziivi.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] acha kabisa hizi shombo.Anamwambia
'I'm 45 but m still outselling you'
haahaa Em ni shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Dre anaproduce na kuimba pia.