Wangeitaje?Jina la hiyo media sijalikubali sana binafsi lakin
Mkuu acha kukariripunguza mihemko kijana kuanzisha radio/tv sio kama kuanzisha WCB!
Mkuu acha kukariri
Ukifanya maisha kuwa magum fanya kwa upande wako,hakuna ugum kama unavyofikiria.
Hivi unajua mafanikio aliopata Yussuf Chuchu yanaweza kumfikia Diamond kipesa?
Sasa mbona Alianzisha Chuchu Fm na inafanya vizuri sana mpaka leo,na Spider(Muimbaji mwenzie wa Zamani)amekula shavu pale kwenye nafasi ya juu ya uongozi.
Diamond ni Brand nyingine kabisaa
Inamilikiwa na Sebastian Ndege the former Clouds fm presenter wa kipindi cha njia panda pia ni business partner na clouds mediaJembe FM inamilikiwa na nani? Biashara ya media naona inakua eeeeh?
Wana mataito ya akili tu hao wanaosema kiba ana mafanikio kuliko yeyoteNakubaliana na wewe Jana nilikua nasikiliza XXL kuna maneno yalisemwa ya Kumsifia Ali Kiba kua ni msanii wa kimataifa na hakuna kama yeye Tanzania nzima
E FM bila shakaNdo nan huyu jamaa nijuze kaka
mkuu, anayemiliki hiyo station, anajiita "jembe ni jembe" ni tajiri wa mwanza huyu. aliyevaa fulana nyeusi.Inamilikiwa na Sebastian Ndege the former Clouds fm presenter wa kipindi cha njia panda pia ni business partner na clouds media
Nakubaliana na wewe Jana nilikua nasikiliza XXL kuna maneno yalisemwa ya Kumsifia Ali Kiba kua ni msanii wa kimataifa na hakuna kama yeye Tanzania nzima
Ni dhahiri sasa msanii wa kimataifa Diamond na brand kubwa ya radio na tv Clouds Fm, bifu la hadharani.
Hii ni kutokana na media hiyo kutopost chochote kuhusu Diamond kwa muda sasa ikiwemo hata nyimbo mpya anazokuwa anatoa. Hii ni tofauti na mpinzani wake alikiba kwan yeye huposstiwa kila mara anapokuwa na kitu kipya na kizuri kwa mashabik wake.
Mfano juzi Alikiba alipokwenda South Africa, Clouds ilipost kupia mitandao na kutuma mwakilishi aende akareport Kiba akisign na Sony
Neyo kaja Tanzania, Clouds kimyaaaa, Millard Ayo pia tofaut na tulivyozoea hutupa habari hali imekuwa tofauti, hajareport lolote kuhusiana na ujio wa Neyo wala shoo ya Diamond.
My take: Millard usipotee njia, hao wapo na wewe sasa hivi, baadaye utaondolewa kama wengime walivyowahi fanyiwa.
Mkurugenzi wa E-FMNdo nan huyu jamaa nijuze kaka