Oraimo wanajitahidi kukupa specs wanayotangaza mfano kama ni charger ya 5V 2A basi utapata kweli hizo amps, ila durability bado sana, mfano charger zao baada ya mda kidogo tu tundu la usb linakua loose.
Wachina waliochangamka kama kina Oppo, Vivo, Xiaomi, Oneplus, Motorola etc wana bidhaa zenye quality kubwa zaidi.