JimCarrey
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 227
- 142
Wadau Kama mada inavyosomeka hapo juu mim ni mtumiaji mzuri wa bidhaa za kampuni ya Apple.... Nilivutiwa sana baada ya kusikia kua bidhaa haziathiriki na Viruses... Nimetumia simu za kampuni hio zaidi ya mbili na nilivadilisha tu baada ya kuhitaji model mpya nasio kwa tatizo la simu ya awali.... Nimekua na Imani sana na kampuni hii.... Siku chache zilizopita nilijaaliwa kiasi fulani Cha pesa nikaamua kutafuta MacBook Pro (Aina ya Laptop za kampuni hio) nikapata ikiwa ni second hand.... Kama mnavyojua mpya ni gharama sana nikaamua nichukue hio kwa jamaa ambae alishaitumia..... Nimeitumia Kama miezi mitatu sasa imefikia muda siielewi kwani leo nimechomeka flash ili nihamishe muvie toka kwa Laptop to flash... External device hio ilionekana imejaa hivyo nikaamua nifute vitu vyote ila nikiingiza muvie hata ya Gb1 inaniambia hakuna space kwa external device hio.... Na sio moja nimejaribu flash zaidi ya tatu.... Mpaka nimeanza kupatwa na wasiwasi huenda laptop hii itakua na virus....
Naomba member mwenye uzoefu na hivi vitu anisaidie ushauri tatizo ni laptop au ni hizi external devices...????
Naomba member mwenye uzoefu na hivi vitu anisaidie ushauri tatizo ni laptop au ni hizi external devices...????