Karibu nikusaidie kuagiza bidhaa kutoka United Arab Emarates (UAE)

Magazeti? Daily news?
Ya musiba kaka. Hayo
IMG-20190910-WA0048.jpeg
 
Naona bado watu wengi hawaamini amini hii biashara mkuu. Ingependeza kama wateja wa awali wangeleta mrejesho hapa ili iwe rahisi kuamini
Hakuna alielazimishwa kaka. I don't have to prove to anyone. Upo willing fanja biashara ukiona shit kausha.
 
themanhimself176, Ndugu yangu, nmesema simu yoyote ina warranty wa Miezi sita. Lakini isitoshe sisi tupo mbali sana. Jaalia nakwambia utume malipo Tigo pesa, haujui Kama Hiyo ni account na kila record ipo?? Isitoshe tunatumia fingerprints now in passport kwenye usalijili wa laini kila sehemu unatumia kitambulisho cha mtanzania. Still nikuambie Kama ni fraud?? Man sio lazima na kila mtu naheshimu mawazo yake Ahsantum
 
Narejea Kama unatafuta Kazi, hauna professional yoyote, hauna pesa. Tafadhali usinitumie message kuomba ushauri hii ni sehemu gali mno kuishi hii ni sehemu ambayo haikalikili. Najua wapo wapuuzi na negativity zao. Lakini ndio reality ilivo message me kwa biashara tu Ahsantum
 
kama mtu ni tapeli atajulikana yeye aandike anapopatikana au kama hawezi kuweka mambo wazi mtu akimfuata inbox apate kila detail muhimu sehemu anapofanya biashara namba ya simu na asitume hela pasipo kupata mzigo
Unaonekana bado upo shamba. Unatapeliwa vipi Kwanz karne hii??
 
Back
Top Bottom