Huseni Ali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 289
- 187
- Thread starter
- #141
Ya musiba kaka. HayoMagazeti? Daily news?
Ya musiba kaka. HayoMagazeti? Daily news?
Mkuu Sipo DarNikiwa dar nikasema nije ulipo cash nakupa unanipa mzigo wangu ni possible mkuu?
Hakuna alielazimishwa kaka. I don't have to prove to anyone. Upo willing fanja biashara ukiona shit kausha.Naona bado watu wengi hawaamini amini hii biashara mkuu. Ingependeza kama wateja wa awali wangeleta mrejesho hapa ili iwe rahisi kuamini
Lool, kwangu Mimi Hakuna kula kuliwa. Ixo ni itikadi zenu.daadeki
Mzigo, ulotupwa na mwarabu Kama mabaharia wanavyosemaga View attachment 1202128
punguza jazba na kufungua mdomo kwa kila unae kuttana nae
kama mtu ni tapeli atajulikana yeye aandike anapopatikana au kama hawezi kuweka mambo wazi mtu akimfuata inbox apate kila detail muhimu sehemu anapofanya biashara namba ya simu na asitume hela pasipo kupata mzigoHapa kuna dalili atakuja kulia MTU.
Huyu muuzaji ni wa kumuangalia Kwa makini
Tizama vizuri mkuu zipo bei za simu Mbona. KaribuMkuu hizo simu mbona hauweki bei
.unafanya biashara kizamani mzee.ndo maana watu wanakuona kaka mbabaishaji
Ahsantum mkuu. Karibu kakapunguza jazba na kufungua mdomo kwa kila unae kuttana nae
Mtafute Faiza Ali ndugu. Kama namba hauna ntakupa pia Karibu.China vipi?
Unaonekana bado upo shamba. Unatapeliwa vipi Kwanz karne hii??kama mtu ni tapeli atajulikana yeye aandike anapopatikana au kama hawezi kuweka mambo wazi mtu akimfuata inbox apate kila detail muhimu sehemu anapofanya biashara namba ya simu na asitume hela pasipo kupata mzigo
Unaonekana bado upo shamba. Unatapeliwa vipi Kwanz karne hii??