Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,509
- 11,374
Kwa tunaofatilia siasa za marekani, mnaonaje amsha amsha za 2024. Democrats washa-conclude kuwa mgombea wao ni Biden.
Kwa sasa Republican nako ni kama mgombea yuko wazi atakuwa Trump.
Utabili wako unampa nani kati ya hawa ma babu Biden na Trump.
Binafsi Trump atashinda 2024.
Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app