Wapuuzi kwa kudandia mambo yanayowazidi kimo, hamjambo. Unaijua New York Times? New York Times ni gazeti linaloheshimiwa na kamwe haliwezi kuandika ujinga huu unaodai. Kwa nini usijikite tu katika mambo ya kipuuzi ya hapa nyumbani? Jiwe kawaharibu kweli kweli...mara Gadafi Rais wa Kuwait, hapana wa Kuwaitt alikuwa Sadam.Nyani Ngabu leo wakati napita daily mail nimeona statement ya bwana mmoja anaitwa Tony Bobulinsk kuhusu ukweli wa email za hunter zilizotolewa na new york times!
NopImebaki wiki tatu lakini naamini
Biden keshashinda na Trump keshashindwa.
Nimeangalia factors tofauti
1. pesa ..siku zote mgombea anaeweza changisha hela nyingi anashinda
Biden kamzidi Trump Kwa mbali
2. swing states..
Ohio na Florida kote Biden ana lead
3. Pandemic.
Hili mradi ni main news Trump hawezi shinda..
Naona Biden atakuwa new President
Trump is done..
Nimemsikiliza kwenye debate mbili na zote sijaona tatizo lolote anajibu vizuri na anaweza kupangua hoja za Trump. Sijui wewe huwa unamsikiliza wapi. Labda unatumia vile vishort videos ambavyo hulenga kumchafua mtuumewahi kumsikiliza Biden? mtu yeyote timamu hawez mpa kura Biden, ushindi wa Biden ni kumpa uraisi Kamala Harris kitu ambacho hawawezi kufanya!
Nyie ndo mnapewa taarifa feki kuhusu Biden. Trump mwenyewe hafurukuti kwenye Debate harafu mtu wa Tandale unakuja kusema eti Biden anapoteza kumbukumbu. Hahahaha. Nonesensesawa, kama unaweza mpa kura mtu anaepoteza kumbukumbu then fine, it means you are voting for Kamala......
then again, taarifa nyingi tunazopewa kuhusu trump ni fake, media nyingi hazimpi coverage nzuri!
Usihangaike ndugu yangu, humu kuna watu utadhani zimefyatuka. Badala ya kujikita kwenye mambo wanayoyamudu, wanataka na wao waonekane eti nao wamo wanarukia mambo yanayowazidi kimo, ujinga mtupu.Nyie ndo mnapewa taarifa feki kuhusu Biden. Trump mwenyewe hafurukuti kwenye Debate harafu mtu wa Tandale unakuja kusema eti Biden anapoteza kumbukumbu. Hahahaha. Nonesense
Hawawezi kuandika kwa sababu ni upuuzi au kwa sababu ni scandal itamu affect Joe Biden? ambaye NT don't want to discredit him??..Wapuuzi kwa kudandia mambo yanayowazidi kimo, hamjambo. Unaijua New York Times? New York Times ni gazeti linaloheshimiwa na kamwe haliwezi kuandika ujinga huu unaodai. Kwa nini usijikite tu katika mambo ya kipuuzi ya hapa nyumbani? Jiwe kawaharibu kweli kweli...mara Gadafi Rais wa Kuwait, hapana wa Kuwaitt alikuwa Sadam.
mkuu umenishambulia mimi binafsi, nashauri ungeishambulia hoja ya Tony Bobulinsk...........Wapuuzi kwa kudandia mambo yanayowazidi kimo, hamjambo. Unaijua New York Times? New York Times ni gazeti linaloheshimiwa na kamwe haliwezi kuandika ujinga huu unaodai. Kwa nini usijikite tu katika mambo ya kipuuzi ya hapa nyumbani? Jiwe kawaharibu kweli kweli...mara Gadafi Rais wa Kuwait, hapana wa Kuwaitt alikuwa Sadam.
shangaa na wewe ndugu,......Hawawezi kuandika kwa sababu ni upuuzi au kwa sababu ni scandal itamu affect Joe Biden? ambaye NT don't want to discredit him??..
Jamaa anasema NT ni news outlets inayoheshimika 😀 😀 ,anasahau kwamba that's among the far left wing media propaganda machine..shangaa na wewe ndugu,......
nimeshangzwa na jinsi walivyorespond utadhani mimi ndio mtoa tuhuma, sijui kwanini?........
kumjibu mtu mtandaoni ni mpaka uanze kumdharau sijui mpuuzi, sijui wa tandale, sijui nini na nini, khaaaaaa.........
New york times wanaheshimika??,Na nani? That far left propaganda machine is no more a credible news to rely on,just like CNN hakuna tofauti sana.Sasa leo ukisema cnn hii ya sasa eti inasheshimika lazima useme inaheshimika na nani,only liberals..Wapuuzi kwa kudandia mambo yanayowazidi kimo, hamjambo. Unaijua New York Times? New York Times ni gazeti linaloheshimiwa na kamwe haliwezi kuandika ujinga huu unaodai. Kwa nini usijikite tu katika mambo ya kipuuzi ya hapa nyumbani? Jiwe kawaharibu kweli kweli...mara Gadafi Rais wa Kuwait, hapana wa Kuwaitt alikuwa Sadam.
nimeshangaa sana, siku za nyuma huyu jamaa alikua mjengaji mzuri sana wa hoja! nimeshangaa ananishukia kama mwewe kwa madharau!Jamaa anasema NT ni news outlets inayoheshimika 😀 😀 ,anasahau kwamba that's among the far left wing media propaganda machine..
Just imagine hiyo scandal ingekuwa inamhusu Donald Trump Jr au Ivanka Trump.Sijui comment yake ingekuwa sawa na hiyo alivyosema hapo juu...
Political correct liberals wao common sense siku hizi hawatumii tena,wao ni emotions na kutaka kuonewa huruma kwa nguvu na vurugu...nimeshangaa sana, siku za nyuma huyu jamaa alikua mjengaji mzuri sana wa hoja! nimeshangaa ananishukia kama mwewe kwa madharau!
nadhani inawezekana ni ushabiki wake kwa dems ndio umemfanya awe hivyo, liberal siku hizi hawataki hata discussion, wao ni vurugu tu
Ndio maana nawaita wapuuzi na vilaza...FYI gazeti lililotoa hizo tuhuma linaitwa New York Post na si New York Times. New York Post ni kijigazeti ka udaku kalikoanzishwa kwa malengo maalum na halina historia kama New York Times ambalo ni gazeti huru na la muda mrefu; hivi ni vitu viwili tofauti kabisa.New york times wanaheshimika??,Na nani? That far left propaganda machine is no more a credible news to rely on,just like CNN hakuna tofauti sana.Sasa leo ukisema cnn hii ya sasa eti inasheshimika lazima useme inaheshimika na nani,only liberals..
Angalia ulivyo na papara,Ni wapi katika comment yangu nimesema New york times ndio wameandika hizo habari??..Naona umekuja na papara zako na kuanza kutukana kama fala fulani,hata kuelewa context haujataka.Yaani nyie ma liberal sijui mna matatizo gani kwenye ubongo wenu,hamuwezi jenga hoja bila vurugu?,Unalazimisha mtu akuelewe kwa nguvu,,Nonsense kabisa..Ndio maana nawaita wapuuzi na vilaza...FYI gazeti lililotoa hizo tuhuma linaitwa New York Post na si New York Times. New York Post ni kijigazeti ka udaku kalikoanzishwa kwa malengo maalum na halina historia kama New York Times ambalo ni gazeti huru na la muda mrefu; hivi ni vitu viwili tofauti kabisa.
Hivyo hivyo kuna Washington Post na Washington Times (udaku)...moja linahusishwa na White supremacists na lingine liko huru. Sasa kama mtu hujui hii tofauti na hata hufanyi juhudi zozote za kujua tofauti iliyopo, inakuwaje unaandika mambo usiyoyajua? Huo ndio ukilaza ninaousema.
Yako magazeti yamekuwepo toka miaka ya 1800s na yanaheshimika kwani ndiyo yaliijenga Marekani na ndiyo yaliyohusika katika kubadilisha mifumo ya kibaguzi nchini humo. Halafu yapo yaliyoanzishwa baadaye kupingana na juhudi hizi zikitetea ubaguzi kuwalinda makaburu wa huko.
Katika magazeti yanayoheshimika, kila habari inayoletwa yenye utata, mwandishi hajifichi bali huweka majina yake wazi na yuko tayari kutoa ushahidi. Magazeti uchwara hutoa tuthuma zisizothibitika na mara nyingi mwandishi husika hujificha ili asihojiwe. Huu utakuwa ni mchango wangu wa mwisho humu...kwaherini.
Hebu fuatilia mjadala ulipoanzaia wewe kilaza...Angalia ulivyo na papara,Ni wapi katika comment yangu nimesema New york times ndio wameandika hizo habari??..
Nyani Ngabu leo wakati napita daily mail nimeona statement ya bwana mmoja anaitwa Tony Bobulinsk kuhusu ukweli wa email za hunter zilizotolewa na new york times!
Wapuuzi kwa kudandia mambo yanayowazidi kimo, hamjambo. Unaijua New York Times? New York Times ni gazeti linaloheshimiwa na kamwe haliwezi kuandika ujinga huu unaodai.
Hawawezi kuandika kwa sababu ni upuuzi au kwa sababu ni scandal itamu affect Joe Biden? ambaye NT don't want to discredit him??..
New york times wanaheshimika??,Na nani? That far left propaganda machine is no more a credible news to rely on,
Ndio maana nawaita wapuuzi na vilaza...FYI gazeti lililotoa hizo tuhuma linaitwa New York Post na si New York Times.
SirChief, New York Times inaheshimika na ni gazeti (Newspaper) na New York Post ni kijarida cha udaku (tabloid). I rest my case!Angalia ulivyo na papara,Ni wapi katika comment yangu nimesema New york times ndio wameandika hizo habari??..
Kama bwn membeTrump mzee wa last-minute ngoja tusuburi
Acha mbwembwe Kiongozi. Trump hashindi hata huku Texas. Kipinde alishinda sababu tu alishindanishwa na mwanamke1. Kwa hiyo unakubali kwamba si kweli kuwa Hilary hakuwa kuongoza zaidi ya asilimia 50 kwenye kura za maoni?
2. Rais wa Marekani hachaguliwi na national popular votes. So national popular votes don’t mean a hill of beans.
3. Don’t get it twisted. Biden hashindi Texas. Sisemi hawezi kushinda urais. Bali, nasema jimbo la Texas litabaki kuwa jekundu. And I can put my money on it. 1K....
4. Nadhani pia huzielewi vizuri hizi opinion polls. Kwanza, wala huwa hazi count. Pili, pollsters wanaweza ku frame maswali yao ili wapate matokeo wanayoyataka.