Biden atashinda, Trump is done

hahaa hadi kuna baadhi ya watangazaji kwenye media za bongo niliwahi kuzisikia wanasema hivyo hivyo 😅
 
Na uchaguzi ukiisha tu akishinda Biden na Corona byebye utasikia everything under control....
 
Hii system tungeipata Tz naona mikoa ya Pemba na sijui Kigoma wangekuwa wanaringa sana tu wakati wa uchaguzi
 
hahaa hadi kuna baadhi ya watangazaji kwenye media za bongo niliwahi kuzisikia wanasema hivyo hivyo 😅
walioandika hii system katika katiba ya nchi yao hawa watu wana akili sana vingenevyo vi state vidogo wangekuwa hata watu hawaendi kupiga kampeni ila utakuta state ndogo ndio wanakuwa kama wameshika vote kama 8 hivi kuamua waangushe wapi. Akili kubwa...
 
Kweli wale wanaopendelea kuoana jinsia moja wanafurahi ndugu yao kuongoza. Trump atakumbukwa kwa kupinga vitu hivyo
 
Kweli wale wanaopendelea kuoana jinsia moja wanafurahi ndugu yao kuongoza. Trump atakumbukwa kwa kupinga vitu hivyo
Yeah mkuu hasa wale walioomba kusuguliwa majukwaani watachukia sana Biden kushindwa
 
Trump hawezi kushinda awamu hii,vyombo vya habari na majanga yamemwandama ,ana mengi kumkosesha kura
 
Haitakaa itokee Biden akashinda uchaguzi
 
Conservatives wengi tu hawapendi kuitwa Trump Supporters lakini mwisho wa siku they'll vote for GOP candidate for the sake of their ideology...
 
Sanaa,kwa Federation kama USA this is the perfect system,vinginevyo watu wangepiga kampeni Texas,New York na California tu wakashinda..
 
Hizo kura za maoni zinatolewa na vyombo vya "Fake News".
 
Wamarekani mostly huwa naona ni Democratic.

Republican huwa wanashinda kwa "Mungu saidia" tu.

Hata Trump hakushinda popular votes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…