Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,288
Nawasalimu Wakuu wa Hili Jamvi!
Hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Nicheke Niongeze Maisha Mie!
Kama kawaida kama dawa, sikuwa na mpango wa kuuleta huu Umbea uliothibitishwa humu ila nikaona itakuwa fundisho kwetu sote! Wambea wa mujini mtakuwa mshaipata hiii.
Bwana Mujini hapa, siku za kati kuna Bidada wa mujini alijiopolea Kiserengeti Boy chake, kifootboller striker cha Msimbazi! Bwana weeee, magauni yote ya harusi mijini shurti aliyatia kikwapa, anaolewa, anaolewa, mie nikashukuru bora apungue atuachie nafasi sie masingle ili tujinafasi zaidi. Sasa bwana yule dogo kumbe si bwana ila mfano wa bwana (Viserengeti Boy hivi, kazi vinaweza ila ndo VITATUMALIZA NA PRESHA mbona!!!!!)
Nasikia koz wote ni TOP in town waliamua wafanye siri, sirini atii. Wakajivinjari weeee kwa raha zao. Wale watia zengwe hawakukosekana kumuhusia bi dada mtoto wa mwenzio ni wako. Akangaka bibi yule, mtoto wangu nina kadi lake la Clinic? Nawaulizeni!!! vishanshuda vikatushuka shuuuuuuu!
Kama ilivo ada ngoma ikivuma sanaaaa ujue ishafikia kupasuka, na debe tupu haliachi kutika. Sijui kilipita nini, au mazafanta gani alitia gundu, Kaka akatiririka FACEBOOK! Mi huyu binti simuelewi, anzushia! Sitoki nae wala sijawahi hata kufikiria. Blah! Blah! Blah! (You can imagine mtu keshakula URODA afu anakukana mara 3, jicho kavuu hana hata shipa la aibu)
Bidada nae akapanic,(HAPA NDO MADA INAANZA) Dogo kamwaga ugali, yeye kaamua kuputa mboga! HAHAHAHHAAAAAA! U can never imagine!!!! Alitoa shutuma nyingi za kumchafua yule bwana, bwana gani anategemea miguu kupata riziki? Bwana mweusi tiii! nk nk ILA KALI KULIKO YOTE NI KUMSHUTUMU YULE BWANA MBELE YA UMA KUWA NI GOVINDA!!!!! HAAAAAAA! TOBA!!! CHINEKEEEEEE! Kinywa kikanibaki waziiiii almanusura nzi kuingia! Tena akaenda mbele kumtaka AKATOLEWE HILO GOVINDA! Hahahahaaaaaaaa!(Nyie watu wa bara hamruhusiwi kucheka ati, sie wa pwani hii khabari ya kuchekesha na kusikitisha) KAPOST HIVO HIVO KWA BLOG YAKE!!!!!
Hahahaaaa! Simcheki yule bwana govinda, la hasha ila namcheka BIBIE! We mtu ulimuona GOVINDA, ukaka nae, UMESHIKA MIC weee, umeliwazwa na hilo GOVINDA weee, only you knows what you did with him! SASA HASIRA ZA NINI KUJULISHA UMA KUWA MWENZIO NDO HIVO TENA? I still dont get it! HIVI KWANINI KUACHANA INAKUWA KAMA ALSHABAB?
Angaliozo
Tafdhalini sana, msicomment jina la mtu. Tuongeleee hii khabari kama anonymous ndo wanahusika, na kujiburudisha au kujifunza jambo kwa hii experiance ya hawa VIOO VYA JAMII. NA NIKISUTWA NA MDUNDIKO MJE KUNITETEA!!!LOLEST!
Superstriker Emmanuel Okwi vs mtoto wa mzee Mwalubadu.
Dedication; Staki Demu by Kibla