Bibie (kioo cha jamii) aanika undani wa nyeti za x boyfriend

Ndio wamewahi..kwani vipi? Kuna movie moja wameigiza huku Dumelo akiwa mdogo wa Ramsey wakiwa wanamgombania Omotola. It is a good movie...nimesahau jina. Nzuri saaaaaana.

Chinekee nadhani ni kama Ooh My God (OMG) au what's this?; kwa jinsi nionavyo wenyewe wakiitumia.


duh nitafutie title zake basi
 
ikitokea okwi akaenda mahakamani kushtaki,je mahakama inaweza kumwambia athibitishe yeye si GOVINDAAAAA

Hahahaaaaa! Atadhibitisha pasi shaka lolote! Na mie sitokosa kwenda kushuhudia! LOLEST!
 
Boss unaziangalia kweli au unanisumbua tu...mbona hunipagi feedback...raha ya movie nazo recommend unipe feed back na wewe kama umeona ni nzuri.

Kuna hii nimeangalia jana (Thanks to Dina Marios) Woman Thou Art Loosed.
Ni kali sana. Nimeangalia online lakini nimesema lazima ninunue DVD nikaangalie na hubby. Lakini sijuhi reaction yake itakuwaje maana inaonyesha ni jinsi gani wanaume ni wanafiki.

Mtoto amekuwa kidnapped polisi wanagundua wife alikuwa anatumia fake name...alikuwa changudoa kabla a kuolewa na jina analotumia ni jipya ili kuficha past life yake...na wakahisi ni past life yake inahusika na mtoto wao kuwa kidnaped.

Ilikuwa familia ya kanisani..hata ma family friends wakaanza kumtenga yule wife kiaina.

Mwanaume wacha aanza vituko....kumwona mwenzie mchafu wakati alishaacha uchangu kabla hata hajaolewa...Kuna siku wakati mke ametoka kusambaza posters za picha ya binti wao...akamkuta husband jikoni out of frustration akataka wa make love jikoni...yule mume akaanza kumfanyia fujo...eti do you like it rough...yani anataka kuanza ku mtreat kama changudoa...mkewe akamwambia 'put money on the table' maana changudoa si anauza huduma bana...yani nyumba ilikuwa haikaliki...

alikuja kuumbuka ilipokuja kugundulika kidnaper ni TA wake; (mume alikuwa ni University Professor) aliyewahi kumpa mimba na kumlazimisha atoe kwa kuwa 'anampenda mkewe'.

Inasikitisha..mke anamuuliza mumewe...'hukujua kuwa una affair na kichaa?'. Eti anasema, 'I thought she was beautiful and intelligent too"

Huyo TA alikuwa ameweka picha za utrasound mezani nyumbani kwake na mishumaa...kwa maana alikuwa anaumia kuua kiumbe ambacho kingekuwa mwanae kwa pressure ya Professor. Sasa kaamua kulipa kisasi.

Ni movie kali saaana.

duh nitafutie title zake basi
 
umewahi shika mic govinda?
we si ushindwi kitu?

Hahahaaaa! Tafadhaliiiii Bana! Mi mtu wa PWANI, hiyo Kitu kwetu ni NAJISI KABISAAA! Hata kuigusa tu! Sijawahi kutana na mtu wa hivo, siku ikitokea NITATOKA BARU nguo mkononi, hata iweje!!!!!! Khaaaaa! Wewe je kisu kimepita au ndo kama hivi LOLEST!!!!
 
We mmbea .. We mmbea.... (Kwa sauti ya joti kwenye komedi party ya copy n paste)

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hahahaaaa! Tafadhaliiiii Bana! Mi mtu wa PWANI, hiyo Kitu kwetu ni NAJISI KABISAAA! Hata kuigusa tu! Sijawahi kutana na mtu wa hivo, siku ikitokea NITATOKA BARU nguo mkononi, hata iweje!!!!!! Khaaaaa! Wewe je kisu kimepita au ndo kama hivi LOLEST!!!!

sasa nikikwambia kisu kimepita
what next?
 
mkono wa sweta???? kazi ipo sasa si inabidi avumilie si aliahidi mbele ya umati kwa vigelegele juuna furaha za mabusu leo hii anaanza kulalamika
 
Lolest! Daaaah! lara 1... Wewe ni Balaa. Hii kitu niilisoma kwa huyo mwenye blog yake ila uandishi wako umeinogesha mada ile mbaya...:laugh:
 
Last edited by a moderator:
umbea ni chanzo cha ndoa kuvujika jichunge sana mleta maada usije ukawa unavunja ndoa za watu kwa umbea au hata yako
 
umbea ni chanzo cha ndoa kuvujika jichunge sana mleta maada usije ukawa unavunja ndoa za watu kwa umbea au hata yako
Hahahahahhaaaaa! Labda uko kwenu na watu wa kenu! Sisi kwetu umbea ni moja ya burudani, coz REAL LIFE ACTORS!!!! LOLEST!!!! Na kupitia umbea tunajifunza mengi sana sana yaliyowakuta wengine ili tujiepushe sie!!! Kwetu umbe sunaaaaa! Maadamu uwe wa ukweli tuuuu, na hakuna aliesingiziwa sababu uongo zambiiii! BAAAAAASSSS! Hivo we shika ya kwenu, yetu tuachie wenyewe tunaoyaweza!!!!
 
Back
Top Bottom