Bibie Evelyn Salt

Bibie Evelyn Salt

Hahaha...mie na huyu bibie chumvi chumvi twajuana kitambo sana.
Ingekuwa vizuri zaidi kama mngekuwa mnataja na nyimbo za kudedicate kwa hao mnaowafungukia mfano "rangi ya chungwa" au "malaika nakupenda malaika" vijana mtanisamehe na uhenga wangu.
Kwangu Mimi sikusahau kudedicatia nyimbo za agano za kale , nikakuwekea hadi beat kutoka Mapimonyoro umekaba tu kichwa changu Kam nut wa standard gauge wa Baba jesca
 
Tatizo lake ni mjuaji (much know) sana huyo Manzi. Hivyo jipange mkuu.
Sijawahi kuuona huu uzi, ndio leo nauona.....
😕😕😕 Ni wewe huyu ulikua unaniteta?? Ulijua nimedanja??? U much know wangu nini???
 
Back
Top Bottom