[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ha ha ha ha ha Madam hayo malimao kunywa mwenyewe tu.
Kuna watu wanajitaftia matatizo tuu ujuee😂😂😂Hivi huyu kijana pesa anazo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mke wa mtu....huooo mkuuNimependa picha yako hiyo
Mi sijui nitaambiwa lini asee
Tatizo watu watadhani unatania. Hawakujui vizuriNiulizeni mie.... Evelyn Salt
Shikamoo babuTatizo watu watadhani unatania. Hawakujui vizuri
Mahaba mjukuu. Hivi kwanini umeamua kunitenga?Shikamoo babu
@Bonny alikuwa anataka kukusemesha ujue mchepuko wanguNimekuitika mpenzi, kwa maana umeniita
Afadhali. Mungu kaisikia sala yangu. Safi sana my dear mjukuu. Rudi nyumbani sasa. Kumenoga!😡😡😡😡😡
Huyo nimekuachia rasmi
Ah basi nikajua umenimisi. Ngoja nirudi zangu kitandani@Bonny alikuwa anataka kukusemesha ujue mchepuko wangu
Jamani jamanii..Ah basi nikajua umenimisi. Ngoja nirudi zangu kitandani
Afadhali. Mungu kaisikia sala yangu. Safi sana my dear mjukuu. Rudi nyumbani sasa. Kumenoga!
Subiri mpaka ukue kidogo. Tatizo ulikimbilia makubwa ukiwa bado mdogo.Nitafutie mwingine dear babu..upweke siuwezagi
Haahahahaaa.[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Huyo nimekuachia rasmi